Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
Ndugu wana jamii forum habari za wakati huu poleni na majukumu tafadhari naomba kuwasilisha mimi ni miongoni mwa wanafunzi walioathiriwa na mfumo mzima wa mafunzo ya ualimu elimu ya msingi Mwaka wa masomo 2016/2017 tulichaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu elimu ya msingi katika CHUO CHA KUMBUKUMBI YA MWALIMU NYERERE katika ngazi OORDINARY DIPLOMA NTA LEVEL 6.
Baada ya kusoma mwezi mmoja walaka wa elimu no 5 ukatoka uliokuwa ukiwaongoza wanafunzi wote waliodahiliwa kupitia kupitia NACTE 2016/2017 watakuwa chini ya NECTA yaani watasoma cheti miaka miwili badala ya mitatu (GRADE IIIA IKARUDISHWA ) wenzetu wakabadilishiwa kozi na wakawa Under NECTA swali likabaki MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY.
Wakufunzi wakatuambia sisi hatuna madhara tutasoma diploma chuo kina sifa ya kutoa diploma tukasoma tukamaliza tukafanya UE na matokeo yakatoka baada ya kufungua Semista ya pili mwezi April mkuu wa idara ya elimu CHUO CHA KUMBUKUMBI YA MWALIMU NYERERE MEMORIAL akutuambia kozi iliishabadilishwa tunatakiwa kusoma cheti miaka miwili yaaani GRADE IIIA.
Tukabadilishiwa na masomo tukapelekwa kasi ya ajabu mbaka mkuu wa idara ya elimu akaachishwa cheo na kukabiziwa mwingine lakini leo Tarehe 22 mkuu huyo wa Idara ametuambia kwamba tumerudishwa Diploma tuendelee nayo kisa chuo wamefuatalia NECTA wamesema hawana usajili wao na wakati wenzetu wrnye sifa kama zetu wanamaliza mwaka 2018 may sisi hatujui tupo wapi mbaka sasa tunaomba MH. NDALICHAKO aangalie suala hili kama ni sahihi au laaaah