Recent content by Mbekengason

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

    Leta faida ya hilo kwa jamii maskini ya Watanzania yaani wakulima ambao ni zaidi ya 80% ya wtz wote?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

    Ningekuwa Dr.Slaa ningewambia tangu leo naachana na ninyi and be free. Lakini unaposikika kidogo wanaanza kuuona uchaguzi ukaribu na wakakumbuka ulivyowapelekesha 2010, mapigo ya moyo yanaongezeka. Mara mropokaji, mzinzi, amezeeka, mchaga, mkiristo,amefulia, mbadhilifu, mroho wa madaraka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

    Ananyamaza hata bungeni wakati sheria nzuri na mbaya zinapitishwa. Mfano ile ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ambapo mtoto wa maskini aliyesoma shule ya kata ambayo mnaipigia upatu, anapokosa au kupata mkopo kidogo kwa kutofikisha vigezo vilivyowekwa kwa hiyo sheria huku Lowassa akiwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini: upinzani umepoteza wakati chama tawala kimezidi kuimarika

    Sijui kama unaamini kuwa Kinana na Nape wanakijenga chama. Walitakiwa watambue tatizo la ni kwa nini bidii kidogo ya wapinzani inashawishgi, ina pull mass. Kuna kukata tamaa kwa yaliyo ya ccm. Sio tu kutarajia kurudisha majimbo yaliyochukuliwa na wapinzani kwa sababu eti mliwachanganya wagombea...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini: upinzani umepoteza wakati chama tawala kimezidi kuimarika

    Sijui kama Kinana na Nape wanajifanyia tathmini. Kuna uwezekano wakawa wamewaacha ktk udhaifu mkubwa kutokana na wananchi kuwa ndani na kero kwa matumaini ya muda mrefu kuwa iko siku, na siku unafika unaanza kusema wenzako ni mizigo, wazembe, hawajibiki ipasavyo na wanakula rushwa. Unalalama wee...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini: upinzani umepoteza wakati chama tawala kimezidi kuimarika

    Pamoja na hayo, ccm na baadhi yetu humu tunawachukulia wtz kwa wakati ulee. Hasha ni wajuzi wa mambn kwa kiwango cha juu. Mantiki ndio itumike kufanyia judgement ya misimamo kisiasa kuliko wingi wa watu pasipo ushawishi. Panapokosekana ushawishi ujue uwepo wa mkutano umemtengeneze upendo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania No cordination kati ya serikali na chama tawala?

    Ni imani ya wananchi kuwa katika mfumo tulionao, chama kinachopata kura nyingi ktk uchaguzi mkuu kinaunda serikali. Kuanzia kwa rais hadi mtendaji wa kijiji. Hivo hamna chama wala serikali kwa mategemeo ya mwananchi. Kwa karibuni kumejitokeza mtiririko wa watendaji wakuu wa chama tawala kwenda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia mwenyekiti wa CHADEMA akitukanwa na wananchi mkoani Dodoma

    Basi na mie nikia pale stand ya magari Bukoba, akateremka jamaa mmoja amevaa shati la njano kama wafuasi wa ccm wapendavyo kuvaa. Ghafla jamaa kwa mbali kaanza, fisadi hilo! Fisadi! Ndani ya dak kama 2 kila mtu alianza fisadi hilo,fisadi hilo! Vijana wakaanza kumfikia wakimvuta shati kisha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sita Amalizwa Kisiasa Na Timu Lowassa

    Kuna wanao sema kuwa wtz walio wengi ni wa Lowassa. Mbona sisi wa vijijini hatuna taarifa na huyo f....i? Ndugu zangu ndani ya ccm hakuna atakayepona. Katiba mpya imewaachia mashimo yatakayowachukua muda kuyaziba.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aikimbia CHADEMA baada ya kutapeliwa: Kinana ahutubia maelfu katika kata ya Nyololo Mufindi

    Mnasali usiku na mchana watu wabaki bumbumbu ili muendelee kuwatawala. Kwa bajeti ya trilioni 19 na pointi kwa kodi na vyanzo vingine kwa wawtz mil.45 kila mtu hadi Juni 2015 atachangia 800,000 kwa kijiji wastani wa watu 1500 ni mil 1200 zimelengwa kupatikana kwa kila kijiji. Sasa angalia ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Aikimbia CHADEMA baada ya kutapeliwa: Kinana ahutubia maelfu katika kata ya Nyololo Mufindi

    Mnasali usiku na mchana watu wabaki bumbumbu ili muendelee kuwatawala. Kwa bajeti ya trilioni 19 na pointi kwa kodi na vyanzo vingine kwa wawtz mil.45 kila mtu hadi Juni 2015 atachangia 800,000 kwa kijiji wastani wa watu 1500 ni mil 1200 zimelengwa kupatikana kwa kila kijiji. Sasa angalia ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA hawaijui historia ya Zanzibar

    Wacha uwongo ww! 1. Aliye ratibu mapinduzi ya Zanzibar ni John Okello a ugandan. 2. Linapozungumzwa la Wazanzibar kuwa wamoja ni pale wanapokuwa wanadai nchi yao, hamna mzanzibar safi au mzanzibar koko. Ukitaka kuliona hilo zungumzi serikali moja kwa Tanzania. 3. Ni dhahili kuna wanaofaidi ktk...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba CHADEMA haijitangazi vijijini

    Kumbe mtoa kwa kusema mnakariri yu sahihi! Kwa karenga alikuwa anagombea mtoto wa mbunge aliyekuwa amekufa bila kwa kifo cha ccm (kwa vipi utajaza). Ccm walihamishia serikali yote huko. Chalinze 1. Inakutwa mkoa wa pwani ambako hadi leo kila watu 95% ni ccm na 95% nimaskini wa kutupa...
Back
Top Bottom