Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

Binafsi siifagilii CCM ya sasa kwa vyovyote vile ila Edward Lowassa namkubali kwa mipango yake ya kimaendeleo kwa sanaaa... Hili Ombwe la Uongozi tulionao kwa sasa, hususan baada ya kupwaya sana kwa Pinda inanifanya nimkumbuke sana Edo! JK amekosa kabisa msaidizi wa kusimamia serikali na maendeleo ya nchi ... Tunamhitaji Edward Lowassa awe Rais wa nchi hii kwa maendeleo ya Watanzania wote! .. KASHWASA, UDOM, SHULE ZA KATA, Kuvunja mkataba wa City Water, Kutimua Wakurugenzi goigoi... Chaguo langu Lowassa ikishindikana CHADEMA watupatie Kiongozi bora ...
 
jembe gani sasa la mkono au la kukokotwa na wanyama?[/QUOTE

"Philosophy" ukiwa unasoma Logic (mantiki) au "epistemology" twafundisha Sources of Errors. Moja wapo ya vyanzo vya makosa ni PARTISANSHIP (ushabiki) ushabiki umewazidi wafuasi wa lowassa kiasi cha kuona bila lowassa Tanzania haipo. Wanaona HAJAJIUZURU bali ni MSTAAFU. wanamuona si FISADI bali mtu Safi. Wanamuona JEMBE bila kujali la mkono au maksai au trekta. Time whizzes by,time will tell.
 
Hivi kwann Ccm wanamuhofia sna lowassa?
Wanajua walimfanyia umafia hivyo atalipiza kisasi wangejua mzee wa watu ni mcha Mungu sana hata hana habari sio kama yule anayesema ana (maadui 21 wamefika sasa)... Pili ndani ya ccm watu wengi ni wavivu sana wa kufanya kazi issues kubwa ni kupiga majungu kwaiyo wanajua jamaa akiingia itakuwa kuchapa kazi kwa kwenda mbele alishawai kusema wenzetu wakiwa wanatembea sisi tupae ili tuweze kupata maendeleo kwa mustakabal wa Taifa.......Tatu wanajua ulaji wao utakata kwani ni mtu asiyependa upuuzi upuuzi kama una kosa lazima uwajibike na uwajibishwe (rejea alivyowafanyia wakurugenzi, wakuu wa wilaya, na waqkandarasi wabovu wabovu)....Nnne kuna wanaoona donge kuwa uchapakazi wake utawafunika au utafunika uchapakazi wa waume zao......tano uthubutu, utendaji uliokuwa bora, uchapakazi, kuwa mtu wa kusema na kutenda wengine wanaona dongo,...... Sita rekodi yake katika utendaji ulikwaza watu na bado unakwaza watu, kumbuka utendaji wake ulivyokuwa bora katika elimu, shule za kata, ujenzi wa UDOM, kuvunja mkataba mbovu wa city water, kuwafukuza wahindi mnazi moja, kuwafukuza wahindi eneo lililopo PPF saizi, kupeleka maji shinyanga kutoka ziwa victoria, kupigana na wamisri kuhusu maji ya ziwa victoria nk.....Saba, Maono aliyonayo katika kuleta elimu bora, ajira kwa vijana, kilimo bora kwa kuwapa wakulima elimu ya kutosha, kupeleka maji ya ziwa victoria mpaka Dodoma via Singida, Kuweka 24 hours economy kwa Dar es Salaam, kuzidisha ulinzi kwa kuweka CCTV camera kwa Dar, Mwanza, Arusha na ,Mbeya, kuwapa wakina mama mikopo bila riba.....Nane sababu ya jamaaa kuchukiwa na wachache ndani ya ccm ni chuki ikiongozwa na Membe, Sita, Mwakyembe, Nape, na Firts Lady
 
Mimi nikimuona lowassa anakuja mbele yangu ntabadilisha njia! Sure
 
hapa uwezi kuona coment za Chabruma maana Jakaya kasema ukweli Lowasa ni Kiongozi makini
 
Ni lini Lowasa amekuwa mchamungu? Angekuwa mchamungu angemnyonyoa nywele Mwakyembe?
 
Mbona kuna wanachadema humu wanamsifia lowassa?
Trust me mkuu, watu wa chadema wengi wanamkubali sana lowassa, na wanakuambia kabisa lowassa akipitishwa kura wanampa, sababu kubwa ni kwamba, watu wa chadema wanaamini katika mabadiliko hivyo kwenye kuleta mabadiliko kidogo lowassa na Dr Slaa wanashabiana vitu fulani
 
Wanashabihiana kwenye ufisadi. Lowasa anafadhili chadema kiaina.
 
Back
Top Bottom