UKAWA hawaijui historia ya Zanzibar

UKAWA hawaijui historia ya Zanzibar

notradamme

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
2,009
Reaction score
453
WAKATI LEO 08/10/2014 rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania akienda Dodoma kukabidhiwa katiba iliyopendekezwa na bunge maalum la katiba kupitia kwa mwenyekiti wake SAMWEL SITTA, kuna uongo,propaganda na upotoshaji mkubwa unaofanywa na wafuasi wa upinzani hususan ukawa kuhusu mutakabali wa matokeo ya kura ya maoni pindi muda wa kupiga kura husika utakapowadia.

Upotoshaji huu unafanywa na hawa watu kwa sababu labda hawajui historia ya visiwa hivi.. unguja na pemba au agenda binafsi zilizowagubika bila kujali maslahi ya taifa kwa ujumla wake.

Labda nianze kwa kifupi tuu kuwapa historia ya zanziba muda mfupi kabla ya mapinduzi, siku nne za mapinduzi na maisha baada ya mapinduzi. wakti wa utawala wa muingereza, zanzibar lilikuwa ni koloni la uingereza chini ya mamlaka ya sultani wa OMAN huku makao makuu ya sultanate hiyo yakiwa zanzibar.

Na kwa kipindi hicho kulikuwa na vyama vya kupigania uhuru ambavyo vilitofautiana sana mitazamo kiasi cha waoigania uhuru wengine wakiamini sultani na vibaraka wake ni wakazi halali na watawala halali wa zanzibar kutokana na historia ya urithi.

Na hivyo uhuru waliokuwa wanadai ni kutoka mikononi mwa waingereza huku wakiungwa mkono na sultani na waarabu.Moja kati ya vyama hivyo ni ZANZIBAR NATIONALIST PARTY(ZNP) ambacho kilikuwa kinajulikana kama HIZB na kiongozi wake alikuwa ni MOHAMMED SHAMTE.

Kwa ujumla hawa walikuwa ni waarabu na mabinamu zao huku wakimtukuza sultani na kujichukulia wao(waarabu) kama daraja la kwanza, mabinamu zao(machotara/wapemba) kama daraja la pili na waafrika kama daraja la tatu na la mwisho.

Hawa walikuwa radhi waendelee kubaki chini ya milki ya sultani milele na kuendelea kuwakandamiza waafrika weusi.IKUMBUKWE TU KUWA ZNP(HIZB) NDIO CHIMBUKO CUF na hata misimamo na malengo yao ni yaleyale kumuenzi sultani na kuwaangamiza waafrika weusi.

Aidha kulikuwa na chama kinachowasimamia waafrika na washirazi.hiki ni ASP-AFRO SHIRAZ PARTY. Hiki kilikuwa kinasimamia misingi ya usawa wa rangi zote na ukoloni walikuwa wanautafsiri kwa mapana zaidi.

Wao walikuwa wanaona muingereza ni mkoloni na sultani ni mkoloni vilevile na dhamira yao ilikuwa ni kuwaondoa woote tena kwa amani kabisa.Ikumbukwe tu kuwa ASP ndio chimbuko la CCM baada ya kuungana na TANU mwaka 1977.

Dhoruba kuu ilitokea pale palipoitishwa uchaguzi wa zanzibar ikiwa ni maandalizi ya kupewa uhuru toka kwa muingereza ambapo vyama vitatu ASP,ZNP na ZPPP(ZANZIBA AND PEMBA PEOPLE'S PARTY) vilipochuana katika uchaguzi mkuu na ASP kushinda ila ikiwa ni chini ya 50%.

Hapo ndipo ZPPP na ZNP zilipocheza mchezo mchafu kwa kushirikiana na sultani na kuunganisha kura zao kisha kutangazwa kama washindi na kukabidhiwa madaraka ya kuiongoza zanzibar huru chini ya SHAMTE.

Jambo hili liliwakatisha tamaa ASP NA KUPANGA NA KISHA KUAYATEKELEZA MAPINDUZI KWA MAUAJI YA HALAIKI (WATCH THE VIDEO) na hatimaye kumtimua sultani na hatimaye kuungana na tanganyika.

Kwa wale wajinga wasio fahamu visasi vilivyotunzwa tangu zama hizo hadi sasa na jinsi waarabu na wapemba wanavyotamani kupata nafasi ya kulipa kisasi, basi na waangalie hii video niliyoambatanisha muone jinsi ambavyo ilibaki kidogo kwa kizazi kizima cha waarabu na wapemba kifutwe kabisa katika ardhi ya zanzibar.
wanatafuta nafasi japo katu hatutawapa.

Mantiki ya andiko langu hili ni KUWAJIBU wale wanaojidanganya kuwa LINAPOKUJA SWALA LA ZANZIBAR eti WAZANZIBAR WOTE WANAUNGANA.Nasema hapana, nasema katu wazazibar waafrika waliojikomboa chini ya mapinduzi matakatifu hawawezi kuwa upande mmoja na wale walioapa kuyapinga mapinduzi hayo.

Nasema mapinduzi ya zanzibar yako mioyoni mwa wazanzibar waafrika na angamizo la mapinduzi hayo ni kiapo kilicho mioyoni mwa waarabu na binamu zao (wapemba.

Mapinduzi yale yaliratibiwa toka tanganyika na wapiganaji wengi walitoka tanganyika.

Vingozi wa mapinduzi(abdul rahman babu na abeid karume) waliyaratibu mapinduzi yale toka tanganyika na walikuwa na mawasiliano ya karibu sana na nyerere. hivyo basi kwa namna yoyote huwezi kuzitenganisha siasa za waafrika wa zanzibar na siasa za tanganyika(tanzania bara).

RAISI KIKWETE anaenda kukabidhiwa rasimu pendekezwa na baada ya hapo tuaingia kwenye referandum, wale wanaodhani huenda zanzibar katiba itakataliwa, basi nawapa pole.

Na walewazalendo wenye hofu labda safari hii waarabu na binamu zao watashinda dhidi ya wanamapinduzi, napenda niwahakikishie kuwa KAMWE HILO HALITATOKEA.

Kwenye kura ya maoni katiba itapita na hicho kikwazo kitasambaratishwa kama vilivyosambaratishwa vikwazo vingine vilivyokuwa vinaiandama mchakato mzima wa katiban na hii sio kwa ajili ya chama fulani au watu fulani bali ni kwa ajili ya mustakabali wa taifa letu.

Kamwe hatutawapa WAARABU NA BINAMU ZAO kuja kufanya mauaji ya halaiki kama vile walivyojiapiza.Jeshi la wananchi wa tanzania litakuwepo zanzibar kama lilivyo hivi sasa na hii haina tofauti na jinsi wamakonde,wazaramu, wasegeju,wanyamwezi na watanganyika wengine walivyojitolea kuiokomboa zanzibara toka mikononi mwa sultani.

Linapokuja suala la mustakabali wa taifa letu HUWA HATUCHEKI NA NYANI, TUSIJE KULA MABUA.
 
INAKATAA KU UPLOAD... ILA NAENDELEA KUJARIBU. KEEP WATCHING. AU KWA MSAADA NENDA youtube halafu andika ZANZIBAR REVOLUTION MASSACRE
 
Link ya VIDEO iwapi?

SISI tunaitaji katiba hayo ya kwenu huko ya sijui waarabu sijui mlitaka kuwaangamiza wapemba hayatuhusu, sisi wa bara tunaitaji KATIBA BORA NA TUNAITAKA TANGANYIKA YETU, Si ni nyie wenyewe mliopiga kura kubadili katiba yenu na mkaungana na hao ambao leo unawaita WAARABU 67% ILITOKA WAPI PEMBA? KAMA C NYIE MLIOPIGA KURA? PELEKENI UNFIKI WENU KULE mtuache tuitafute katiba BORA hata kama ni miaka mingi mbele lakini tutaipata
 
SISI tunaitaji katiba hayo ya kwenu huko ya sijui waarabu sijui mlitaka kuwaangamiza wapemba hayatuhusu, sisi wa bara tunaitaji KATIBA BORA NA TUNAITAKA TANGANYIKA YETU, Si ni nyie wenyewe mliopiga kura kubadili katiba yenu na mkaungana na hao ambao leo unawaita WAARABU 67% ILITOKA WAPI PEMBA? KAMA C NYIE MLIOPIGA KURA?
PELEKENI UNFIKI WENU KULE mtuache tuitafute katiba BORA hata kama ni miaka mingi mbele lakini tutaipata

Ni unafiki wa hali ya juu mlimnyima Dr.Salim kugombea urais kwa kusema alikuwa HIZB.Baada ya kushindwa uchaguzi mmeungana na hao CUF mnaowaita HIZB kuunda serikali.Unafiki na ubaguzi wa rangi unawamaliza chini ya mkoloni mweusi.
 
ewe punguwani unawajua waasisi wa CUF? Hivi akina Jemus Mapalala wanatoka upande upi wa Pemba? ama kweli wewe ni taahira tena sio kidogo.

IKUMBUKWE TU KUWA ZNP(HIZB) NDIO CHIMBUKO CUF na hata misimamo na malengo yao ni yaleyale kumuenzi sultani na kuwaangamiza waafrika weusi.

ewe punguwani unawajua waasisi wa CUF? Hivi akina Jemus Mapalala wanatoka upande upi wa Pemba? ama kweli wewe ni taahira tena sio kidogo.

Mkuu hujui kwamba Mzee James Mapalala alitumiwa tu!!!
 
kiongozi wa mapinduzi alikuwa Okelo tokea uganda na wala sio hao unaojaribu kutupotosha.
Dhamira yenu ya divide and rule haitakaa ifanikiwe kabisa. is just a matter of time tu.

Vingozi wa mapinduzi(abdul rahman babu na abeid karume) waliyaratibu mapinduzi yale toka tanganyika na walikuwa na mawasiliano ya karibu sana na nyerere. hivyo basi kwa namna yoyote huwezi kuzitenganisha siasa za waafrika wa zanzibar na siasa za tanganyika(tanzania bara)..
 
Ni unafiki wa hali ya juu mlimnyima Dr.Salim kugombea urais kwa kusema alikuwa HIZB.Baada ya kushindwa uchaguzi mmeungana na hao CUF mnaowaita HIZB kuunda serikali.Unafiki na ubaguzi wa rangi unawamaliza chini ya mkoloni mweusi.

Mimi ni mwana CCM japo natokea bara lakini hakuna mtu ambae akisimamishwa kugombea urais nitampigai kampeni kama Dr SALIM kwa sasa hakuna mtu ndani YA CCM anaeweza kupambana kwa haki akampita Dr SALIM huyu kwangu ndie kiongozi aliyebakia ndani ya CCM WALE wengine ni madalali
 
dhoruba kuu ilitokea pale palipoitishwa uchaguzi wa zanzibar ikiwa ni maandalizi ya kupewa uhuru toka kwa muingereza ambapo vyama vitatu asp,znp na zppp(zanziba and pemba people's party) vilipochuana katika uchaguzi mkuu na asp kushinda ila ikiwa ni chini ya 50%
.

Najua mnaogopa maalimu saif kilipiza kisasi cha kumwibia kura mara mbili. H
 
Mtoa mada,kwa hiyo uhuru wa wazanzibar ni kutawaliwa na mtanganyika?kama okoloni wa muarabu na muengereza uliondoka basi na ukoloni wa mtu mweusi pia utaondoka na wazanzibar wote watakuwa huru awe mweupe au mweusi,zanzibar kwanza.
 
Wazanzibari ni waoga sana, wakioga Tu Maji ya Dodoma huwa wanalegea chochote wanakubali....
 
.

Najua mnaogopa maalimu saif kilipiza kisasi cha kumwibia kura mara mbili. H
Kwa sababu mnajitia ujinga kwa makusudi... tunawaacha na ujinga wenu. Ila utaishi hadi utazeeka bila kumuona MAALIM SEIF kama raisi mteule Zanzibar. Take it from me,, hapa simaanishi matokeo ya kura.
Nchi hii imesimikwa katika misingi madhubuti sana. Ni ngumu sana kututeteresha
 
Wacha uwongo ww! 1. Aliye ratibu mapinduzi ya Zanzibar ni John Okello a ugandan. 2. Linapozungumzwa la Wazanzibar kuwa wamoja ni pale wanapokuwa wanadai nchi yao, hamna mzanzibar safi au mzanzibar koko. Ukitaka kuliona hilo zungumzi serikali moja kwa Tanzania. 3. Ni dhahili kuna wanaofaidi ktk mfumo huu huko Zanzibar na hasa viongozi na ufaidi wao ni ubebwa wao na Tanganyika. Kwa hili Tanganyika tutajitegemea. Awali baada ya uchaguzi kila kitu kitakuwa kipya yaani rais mpya,bunge jipya and of course sheria mpya ya mchakato wa katiba.
 
Kwa sababu mnajitia ujinga kwa makusudi... tunawaacha na ujinga wenu. Ila utaishi hadi utazeeka bila kumuona MAALIM SEIF kama raisi mteule Zanzibar. Take it from me,, hapa simaanishi matokeo ya kura.
Nchi hii imesimikwa katika misingi madhubuti sana. Ni ngumu sana kututeteresha

Imesimikwa kwa watawala tu but kwa watawaliwa ni umasikini tu na ndio mtaji wa wakoloni weusi.
 
Mwandishi unajua unachokiandika au unacopy na kupaste ,kwanza kwa taarifa yako mambo ya kasumba za kurudisha waarabu hizo zishapitwa na wakati ,maana inaonyesha hata hujui kama hapa Tanganyika wenyeji wengi ni kutoka Congo ,Tanganyika ilikuwa pori la wanyama tu hadi baharini ni wanyama watupu ,hio ndio historia na itabakia kuwa hivyo.

Juma Duni Haji unamjua ni muarabu ? Marehemu Shabaani Mloo ni mwarabu ,na wapo wengi tu ,ila Kwa Zanzibar kama huelewi ni kisiwa na kawaida ya visiwa ni mchanganyiko ,halafu naona umechelewa kuleta hiki kirago chako ,Zanzibar ya leo haidanganyiki tena na siasa za kurudisha waarabu ,pole sana.
 
Kwa sasa tunahitaji katiba mpya ,bora itayotufikisha tunapotaka ,ccm imeundwa na weusi lakini nalo ni koloni,Mfa maji hutapa mara oh-chama kina ukaskazin,udini saa hizi umetumwa upipme upepo na hili la CUF-JIPANGE KAWADANGANYE MLIOWAPELEKA DODOMA KULA PILAU,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom