kaka hiyo habari ni kweli tupu,
mwanzo nilinunua salio la 6,000 balance yangu ikapungua lakini airtime haikuongezeka, mara ya pili nikanunua 10,000 hadithi ikawa ile ile, ikabidi niende ofisi za tigo pale mlimani city. Nilipofika nikakuta wenye tatizo kama langu wako wengi. Hivyo tukashauriwa...