Mr.Sugu yuko wapi?

Mr.Sugu yuko wapi?

Mr.Toyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2007
Posts
433
Reaction score
117
Eti waungwana huyu jamaa mvumbuzi wa kwanza Tanzania kutengeneza gari (Mr.Sugu) mbona hasikiki tena?

Mara ya mwisho kumsikia ni baada ya kutoa toleo jingine;
Mr.Sugu na gari na toleo jingine jipya la gari yake ambayo amefanikiwa kuitengeneza katika miaka ya hivi karibuni na sasa ipo mtaani inatembea kama ilivyo kwa gari nyengine kutoka Japani au Korea


GARI iliyobuniwa na Mr Sugu Mzanzibar likiwa katika maonesho ya Siku ya Wafanyakazi 'MAY DAY' yanayofanyika Viwanja vya Amaan Nje.


sugu+1.JPG

sugu+2.JPG



Kuna mwenye information yoyote kuhusu huyu jamaa?
 
Inadaiwa jamaa alipata ufadhili kwenda kuongeza utaalamu nje ya nchi. Ndo sijajua ni nchi gani..... Namkubali sana bwana
 
Back
Top Bottom