Hiki kiwanja kimeuzwa?

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Nimepita leo eneo ilipo shule yangu pendwa ya Arusha Secondary, nimekuta grader inatifua kiwanja kilichokuwa cha shule na upande mwingine kuna uzio kabisa na hata material za ujenzi zimeshamwagwa. Mpendwa mbunge wangu Lema, una chochote kuhusiana na hili?
 
hii kwa wale pro ccm washapata cha kuongea na upa huu uzi masaa kadhaa utaniambia da preta..
 
hata mie nimepita hapo nimeona kama kuna ujenzi unaanza............labda shule imepata mfadhili wanaongeza madarasa badala ya kusoma kwa shifti............tusubiri tutajua
 
nasikia kimeuzwa kwa watu fulan hiv, kama vile nilisikia lema akisema kuna watu wanheshimiana sana lakin heshima zao zitashuka km wataendelea na huo mtindo wao wa kujenga kwenye maeneo ya wazi , yy yupo tayari kukosana nao, inawezekana na hilo eneo la skul lahusika
 
Back
Top Bottom