Mkuu mbona hauleweki,ebu weka wazi mara ulifukuzwa chuoni mara mkuu aliosababishwa ufukuzwe kazi,vipi tena funguka la moyoni::
Amekunyanyasa vipi? Katika hali ipi?Hebu chukulia kwamba mtu aliyekunyanyasa mpaka ukaamua kuacha kazi wakati akiwa Bosi mahali fulani, umekutana naye hivi sasa akiwa anatafuta kazi mahali ambapo wewe ni Bosi na ukiwa na maamuzi ya mwisho. Hebu niambie kama ni wewe ungefanya nini?