Tatizo huyo dada anajisahau na kufikiri kama siasa ni maigizo na watu wa dizaini hii hata siku ya kiama ikifika atakua hajui kama kundi lake ni la ukristo au uislamu maana akienda kwa waislamu wanamkimbiza akirudi kwa wakristo wanamkimbiza akienda kwa wapagani wanamkimbiza anabaki anagwaya tu
Sheria hii ya kuzuia fao la kujitoa ingekua nzuri sana kama serikali ingekua na uwezo wa kutoa ajira kwa raia wake lakini kutokana na serikali kushindwa kutoa ajira kwa wananchi wake na kutegemea zaidi sekta binafsi ni tatizo kwa ujuli
Pili swala hili lina faida kwa serikali kwasababu wakati...
Ujinga wa kufikiri ndio huo katika karne ya 21mpaka leo watu nafikiria ujinga wa kiasi hiki sasahiv kuna siraha za kisasa ambazo ni lazima uwe na uelewa wa shule ili uweze kwenda na wakati unakua jasiri halafu kichwani hakuna kitu kuna maan gani hapo
Mijitu mingine inacomnent ikiwa na itikadi fulani et kutolewa roho vitani hakuhitaji vyeti ila ujasiri tu @pumabavuu huo ni utaahira uliopitiliza watu wenye IQ za kufikiri kwa kuharisha kama bata ndio wanajibu hoja za msingi kama hizi kwa slaili hiyo kama ni ujasili kulikua kuna haja gani watu...
Ww ndie mwenye faida??
Kwa hali ilivyo sasahivi ccm Nyalandu alikua ana uhalali wa kujiudhuru na mimi nmpongeza sana kwa hatua aliyochukua Taifa lina viongozi wanafki waliojaa chuki za aina mbalimbali na naweza kumuita mzalendo kwasababu amediriki kuachia ubunge katika hali kama hivyo ilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.