Wanawake mnadhambi sana!!!

Wanawake mnadhambi sana!!!

Huyo mwanamke atakua ana laana kubwa,ivi haoni kama huyo bwana anaejipendekeza kwake hana mpango nae? au huyo rafiki yako ana risk maisha yake kiyasi hicho? mpe salam mwambie ivi huyo mwanamke ndio atakua SUMU kwake zikitimia,na mwanamme mwenye akili zake timamu hawezi kufanya anavyo fanya huyo rafiki yako yeye ni mwanamme hajui ipo siku yatamkuta yalio mkuta mwenzie? na huyo mwanamke nae pia mpe salam zake mwambie wanaume ni wengi sanaaa ila ipo siku ataijua maana ya mwanamme suruali na mwanamme majukumu..
 
Aisee wadada wengine sijui wakoje, siwezi kufanya hivyo. Kwanza hata mawasiliano tu ex wangu huwa sitaki kwsbb najua hana msaada tena kwangu.
Mme wako ndio kila kitu kwako, kwnn kumufanyia dharau hivyo? Navyoona mbele ya safari huyo dada ataambulia majuto.
 
=======
well nawaza nimshari jamaa arecord kidhibiti then tukitoe hapa ,,,,,,, au tufanye siku tuonane mkuu nikupe evidence
Arekodi kidhibiti ukitume hapa, ili umdhalilishe mume wa binti kwa kosa gani alilofanya?
 
HATA MIMI NINAYE X WANGU AMBAYE NILIPORWA NA JAMAA, MPAKA KESHO ANASISTZA NIMTAFUNE LAKN NAMSTAHI TU KWA HOFU YA MUNGU.

KUNA MWINGNE ANATARAJIA KUFUNGA NDOA ANATAKA WIKI NZMA KABLA YA SENDOFF NIMTAFUNE NIMEMJBU POA ILA KIUKWELI ZKFKA HZO TAREHE NTAMWAMBIA NKO BUSY
 
Story itakua ya zamani..yani ufunge ndoa uende honeymoon bwawani hotel? Inahali mbaya, 2015 ndio ikapumulia mashine..hii story ni ya mwaka gani?!
====
Je ndoa ilitokea lini? rudia kusoma usikurupuke kukosoa
 
HATA MIMI NINAYE X WANGU AMBAYE NILIPORWA NA JAMAA, MPAKA KESHO ANASISTZA NIMTAFUNE LAKN NAMSTAHI TU KWA HOFU YA MUNGU.

KUNA MWINGNE ANATARAJIA KUFUNGA NDOA ANATAKA WIKI NZMA KABLA YA SENDOFF NIMTAFUNE NIMEMJBU POA ILA KIUKWELI ZKFKA HZO TAREHE NTAMWAMBIA NKO BUSY
====
Duh tunaenda kubaya
 
Swali ni, na kama mtu humpendi why uolewe nae?
Haya mambo mengine ni kujitakia stress tu... Mxiiiiiuuuu
 
===dhambi ya mwanaume iko wazi kabisa nayo ni kukubali. but all the push are coming from the other end
Mwamba ngoma huvutia upande wake... Unadhani kama the guy ndo anakuhadithia atakwambia kua yeye ndo mwanzilishi?
 
what I have done ni kutuma link ya huu uzi to both mwanamke na mwanaume nashubiria response najua yupo ambaye atanichukia
 
Swali ni, na kama mtu humpendi why uolewe nae?
Haya mambo mengine ni kujitakia stress tu... Mxiiiiiuuuu
shoo za wizi tamu mkuu..kuna mmama nimekutana nae fb kumbe kaolewa na ana watoto watatu..ni anatombana mpaka unaomba poo..bed yupo vizuri na anajua kuchezea dudyu.
mmewe pombe zimezidi
 
You don't have to, kwa sababu utakuwa ni uongo tuu!, na kama ni kweli, huyo mwanamke sii mzima!, atakuwa ni imbecile!.

Binadamu mzima mwenye akili zake timamu hawezi kufanya kitu kama hiki, ila pia naomba kukiri, una uwezo mkubwa kutunga, ukiandika vitabu vita hit!.

P

Pasco unayajua mapenzi ama unayasoma magazetini tu? nini kupiga picha za uchi watu wanakunywa sumu na kujiua, winnie mandela alimsaliti Mzee Madiba mchana kweupe, Muke ya Bakili Muluzi (Annie Chidzira Muluzi) aliewahi kuwa raisi wa Malawi alikuwa anatembea na waziri wake Brown Mpinganjira pamoja na mlinzi wake wa ikulu wakati huo, nini wewe Pascal!!!!
 
Nimewaza kwa makini sana nikagundua yafuatayo.
~Mwanaume hana akili kabisa
~Amekosa kujiheshimu
~Na km hizo dhambi anazo yy maana yy ndio mwenye roho ya uzinzi
~Hana maamuzi anamtegemea mwanamke kuwaza.
~Hana utu kwa mwenzie

Nb:Mwambie mshahara wa dhambi ni mauti.
~Kwa kipimo alicho mpimia mwenzie nae atapimiwa hichohicho.

Ushauri.
~Aache hiyo dhambi mara moja,Atubu na kumrudia Mungu na akiokoka ni nzur zaid maana neema bado ipo.damu ya Yesu inafuta dhambi
 
Mwanamke na mwanaume wote wanamakosa na ni wajinga...

Ipo siku wataumbuka...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom