Naomba nilete hoja ambayo mimi binafsi skuielewa tija yake.
Juzi kati nilifanya application ya vyeti vya watoto wangu Rita online wakaomba attachment ili niweze kupata vyeti nikafata utaratibu wao nkaweza kupata approval atimaye nkapata issued!
Tatizo likaanza nlipoenda kuchukua vyeti vya...
Me nadhani dunia ya Sasa haihitaji procedures ili ufanikiwe..
Nadhani tu-push kwa overlap procedures.
Me pia npo kweny harakati za kuhamia sehem ingine...
UTARATIBU NI MGUMU SANA COZ WACHAWI WAPO WENGI WASIO PENDA WEWE UTOKE!
Tuendelee kutafuta tutapata
Nyie lipeni tu.. ndege ni ya raisi ndo mana ipo chin ya ofis ya raisi sio ya watanzania...
Sisi wawakilishi wetu bungeni hawakuidhinisha biashara ya ndege bila kuw Na bus plan..
Mkuu una uwakika kwamba amewahi kukataa??
Mkuu unajua kwamba ajira n inshu mtambuka kwa sasa??
Hata hizo nafasi za watendaji kata ni ngumu kuzipata kipndi hiki....
Huu n usumbufu tu. Nchi hii hakuna ambaye hajui kuna sera mbovu ambazo sio rafiki kwa watu kufanya biashara...
Kuita makundi ikulu me naona ni kutafuta popularity na politics credit.. Na publicity kwa watu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.