Mbinu halali ya kupunguza makato kwenye miamala ya simu

Hii njia wakala anakataa...labda huyo anaetumiwa code awe mkoa huo huo yaani awe eneo la karibu
Inasemekana kwamba mtu aliyepo mbali akitoa hela kwa njia hiyo anaweza akaiba kwa urahis na wakala akienda kushtaki makao makuu hasaidiwi kwasababu mtu inabidi atoe hela akiwa kibandani na sio hukoo atumiwe code ya wakala

Wengi wanafanya hivo, unatoa kwa wakala unaemjua unatoa kila siku.
 
Back
Top Bottom