Naiomba serikali imshitaki zitto kupitia ile sheria ya takwimu yani akayhibitishe haya aliyoyasema mahakamani.
Zitto hana lolote naishauri serikali isimuache imshitaki tena imuongezee na ile aliyosema kwamba jengo bweni udsm eti halijajengwa kwa thamani ya pesa aliyotaja mkuu ili tukamuumbue...
Alitoa fursa ya kuulizwa maswali wakarudia Mara mbilimbili hakukuwa na mwandishi mwenye swali kuhusu alichowasilisha.ungekuwa wewe ungeuliza swali gani kuhusu kilichowasilishwa?
Uongo ni sawa na mende ukimuona mmoja ujue kuna wengine
Hayatomfaa mtu macho yake mazima ikiwa amepofuka fikra
Maisha ni kile kinachokutatiza wakati unapangilia mipango yako.
Rafiki ni ndugu uliyemtengeneza mwenyewe
Haitokufaa kitu kuongeza sifuri ktk kila jambo lako lenye thamani ya kumi...
Salaam wakuu.
Nimevutiwa na taarifa niliyoisoma kwamba kampuni Fulani inayojihusisha na michezo ya kubahatisha imelipa bilioni mia mbili na milioni mia moja kama kodi kwa kile walichoingiza mwezi September.
Hii inamaanisha wabongo wamechachamaa haswa ktk kucheza kamari manaake kama kodi tu ni...
Wametuchongea.sijui kama kutatotokea lolote baada ya kuvumilia miaka 2 bila kuongezeka hata sumni wala kulipwa madeni yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo moja ninaloweza kulisema kwa uchungu kabisa ni kwamba cuf ina katiba ya hovyo kabisa inayotoa mianya ya migongano na migogoro mana kila upande unatumia vifungu vya katiba yao hiyohiyo ktk kuhalalissha na kuharamisha maamuzi ya wenzao.
Akh
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiji la dar limepata tuzo sawa lkn tuzo hiyo haijatokana na mchango wa kuwa chini ya ukawa.
Kama nakosea nielekezwe jinsi uongozi huu ulivyoshiriki kufanikisha mradi huo wa usafiri wa haraka
Nawasalimia.
Kwa mlio tanga mtakuwa mmesikia habari inayovumishwa na mashilawadu wa mtaani kuhusu tukio lililotokea huko korogwe ktk kijiji cha mashewa mitaa ya kwa mzee shed.........
Kuna wajinga wanazusha tena huku wakisambaza na picha ya tukio,nikiri kwamba picha ya tukio ni ya kweli lkn...
Habari zenu wataalam.
Nimetembelea jukwaa lenu nikiwa na imani nitapata majibu juu ya hiki nitamanicho kujua.
Ni hivii mi ninamiliki gari ambalo linanisumbua sana na limefanya nigombane na mafundi wengi kwa tabia yao ya kutokuwa na uhakika kwamba ni kifaa kipi kilichoharibika matokeo yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.