Livingstone Lusinde amewataka CHADEMA Wamuadhibu Joshua Nassari

TUKIO KAMA HILI UNAWEZA KULIPA TU KWENYE CCTV CAMERA, WAANDISHI NI NGUMU KUNASA ISSUE HII.
DOGO NI KWELI AMETEREZA. CHA MSINGI HAPASWI KUTETEWA ILA WALIO KARIBU NAE WANAPASWA WAMWAMBIE ILI AJIREKEBISHE.
Tuonesheni kwenye CCTV kama tulivyomuona Bashite akivamia clouds ili tuamini.
 
Namshauri huyo Kibajaj asome Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Ibara ya 13(1) ambayo inasema hivi ' Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki bila ya ubaguzi wowote kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria' mwisho wa kunukuu.

Sasa tujiulize lugha anayotumia Rais wetu mara kwa Mara kuwakejeli na kuwakashifu viongozi wa vyama vya upinzani, na dhahama wanazopata viongozi wa vyama vya upinzani kutoka vyombo vya dola, ni kwa nini huyo Kibajaj asianze kwanza kumtuhumu Mwenyekiti wake wa Chama Cha Majipu, kuwa ndiye yupo mstari wa mbele kuivunja waziwazi hiyo Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
kiutendaji.... katiba wala isitudanganye kwamba rais atakuwa sawa na wengine kiheshma....abadan! Na ndio tatizo tulilo nalo "kiutendaji"
 
Mtoto tulia na uelewe. Hata kumsema kitwanga alikuwa amelewa kawaida ni kumsingizia kwa sababu hukumpima kujua kiwango
Baba kumbuka maneno hayo sijasema mimi yalianza kusemwa na Lusinde wakafuata wafuasi wake na kama Kitwanga alisingiziwa aliyemsingizia ni Lusinde na wafuasi wake na huu ndio mwendelezo uleule ambao wanataka kuuendeleza mpaka kwa Nasary.
 
UTE="Mystery, post: 20786530, member: 73370"]Kule kuwaambia watu wa Kagera kuwa Ukimwi wao.....

Katerero wao........

Hata mto ngono upo kwao.......

Hivi huo tunaweza kuuita utani au ni kashfa na kuwakejeli watu wa Kagera!?[/QUOTE]
Hapo Umemaliza Mkuu.
 
Baba kumbuka maneno hayo sijasema mimi yalianza kusemwa na Lusinde wakafuata wafuasi wake na kama Kitwanga alisingiziwa aliyemsingizia ni Lusinde na wafuasi wake na huu ndio mwendelezo uleule ambao wanataka kuuendeleza mpaka kwa Nasary.
Lusinde alisema sahihi kwamba kitwanga aliadhibiwa kwa kudhaniwa kuwa amelewa. Hivyo ndivyo. Hayo ya kusema rais alimuonea kitwanga ni kilanga chenu na mahaba yenu kwa walevi kazini.
 
Dawa inaelekea kufanya kazi kidogo. Maana chizi aliyetoroka Mirembe anaweza kuongea kama wenye ufahamu n.a. akili za kiwango cha IQ 45!
 
wacha uongo. toa mifano rais ametukana au amekejeli upinzani zaidi ya kufanya utani tu unaokubalika kwenye siasa zetu. huwezi kulinganisha na matusi kwenye mitandao ambayo ina mikono ya wapinzani. mtu kama lissu na lema wamekua mfano wa lugha ya kejeli na matusi kwa rais wa jamhuri
Wewe ukiambiwa "mtoto" utajisikiaje/utachukuliaje; tusi au sifa?
 
Kikao cha wabunge wa ccm ni ccm na Waziri Mkuu ni kiongazi wao kama walitoa hoja kwa waziri mkuu amripoti kitwanga kwa Rais basi ni sawa kusema ccm ilibariki kutenguliwa kwa kitwanga.
Hiyo ni laana ya Mwakyembe kwa hiyo ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kunywa konyagi na kulewa? Kwanini iwe siku hiyo huku akiwa amemnuia Mwakyembe.
Halafu unajua uzuzu wa Nasari ni kulewa sifa za humu mtandaoni. Aliwahi kuisema hiyo hoja akiwa maporini kwake. Mjinga mmoja akaja kuitupia humu na kushabikiwa na maboya ya chadema jf. Basi mbunge mjinga akaona bonge la kiki. Hakutegemea majibu ya Mwakyembe kama yatamuweka yeye na chama chake kwenye kona. Sasa mmeugeuza mzoga harufu inaanza upya mpaka mnaamua kulewa hovyo kuuwa so
Vika vya ccm vinajulikana,kamati kuu,halmashauri kuu,Mkutano mkuu,kamati ya maadili!Je,ni kikao kipi kati ya hivyo tajwa hapo juu kilikaa na kumuwajibisha Kitwanga?
Pili,nimesema unavyosema mambo ya laana unajionesha ulivyo mdhaifu kichwani!
Hizo nyingine porojo tu
 
Back
Top Bottom