Napenda kuongeza point hapa, hali hii inawezekana kabisa kutokana na maendeleo ya tiba na ushauri sahihi wa kiafya. Kwa wanandoa ambao mmoja wao ameambukizwa VVU na mwingine hajaambukizwa (tunaita "serodiscordant couple"), kuna njia salama za kuhakikisha maambukizi hayapitwi kwa mwenza wala kwa...
Hapo tunarudi pale mwanzo what matter is virulence load, mwenye maambukizi ya juu strain atakayo isambaza itakuwa kali na mwenye maambukizi ya chini (mwenye matumizi mazuri ya dawa na mazingatio ya kiafya) strain atakayoisamba endapo viral load yake haijawa bado Undetected atasambasa Strain...
Hiyo ni kweli, ukiwa katika ARV therapy kwa wale waanga wa HIV, endapo utazingatia taratibu za kiafya kwa kunywa dawa kwa wakati kuzingatia lishe bora husaidia kupunguza uzito wa virus na kufanya kinga ya mwili kutokuwa compromised, na mwisho wa siku yul mweny positive ukija kupima utakuwa...
Rate ya maambukizi ya ugonjwa wowote yanatokana na virulence load ndani ya host, so kama mtu anatumia dawa vizuri virulence load ya mdudu ndani ya host upungua hata strains atakaokuwa akiusambaza kwa wengine makali yake upungua, mfano ukakutana na mwenza mwenye gonnorhea sugu utokan na kutoanza...
Wananchi wanawapa dhaman wabunge kusimamia katiba ya nchi, mahakama inatunga sheria na kuilinda katiba ya nchi, raisi ndio kiongozi namba moja wa kuilinda iyo katika ya nchi chini ya Bunge, wabunge wapo legible kupinga katib na kuikosoa katiba endapo etakuwa ni kinyume na dhamana au nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.