Is life a movie or a dream? Which one make sense?

Is life a movie or a dream? Which one make sense?

Unawezaje kutofautisha kati ya maisha ya ndoto, maisha ya kuigiza na maisha halisi?

Ruksa kuitafsiri kuitafsiri dunia unavyotaka inategemea umesoma nini, umeona nini au umesikia nini.
 
Mtu unajishuhudia kabisa mwenyewe ukiishi hapa duniani halafu useme maisha yako ni dream au muvi.

Labda ufe ndio maisha yako yanaweza kuigizwa na wengine kama muvi.

Ila wewe kama wewe personally, Maisha yako ni real kabisa.
Una uhakika gani kama inajishuhudia mwenyewe kwenye maisha?
 
Mtu unajishuhudia kabisa mwenyewe ukiishi hapa duniani halafu useme maisha yako ni dream au muvi.

Labda ufe ndio maisha yako yanaweza kuigizwa na wengine kama muvi.

Ila wewe kama wewe personally, Maisha yako ni real kabisa.
You are an observer in your life. You are not the one living that life
 
Una ufahamu wa kujitambua na kuona kinachoendelea.
Napenda kupinga maana hata mawazo sio yako scientifically proven that you cannot choose your thoughts.

So it's an illusion created by the mind
 
Binafsi nichaamin maisha ni movie, yan inayoendeshwa na sheria za ulimwengu(director) point B inategemeana na point A ulivyoifanya sina uhakika kama kweli maisha hayana mtiririko wa stories.

Kingine nachokiamini ni kwamba maisha unachagua wewe mwenyewe ndipo sheria zitafuata mtiririko. Hapa sheria naweza kuziweka kama database au alogarism yenye formulas, calculations na majibu ya mtiriko wako wa yale maisha uliyoyachagua. Ndipo hizo sheria uchagua nani uambatane nae nani umuache uende point fulan ya mtiririko wako wa stories zako za maisha.
 
Back
Top Bottom