Niwafahamishe kitu hapo.
Kiutaratibu benki ana tolerance ya kisheria ya miezi 3 kutoka kwa mteja kutokulipa mkopo...baada ya kuona miezi 3 imepita tena consecutively izo miezi,badae wanaandika demand note kwenda kwa mteja ya mwezi mmoja kwamba kama kashindwa basi dhamana itafidia mkopo wake...
RC analipwa mil. 6, kwa msharaha wake lakini ikitokea huyo RC kateuliwa kutoka kwenye kazi nyingine iliyokuwa na mshara zaidi ya mil. 6 basi atahama na mshahara wake, mfano hao wanajeshi au wengine walikuwa watumishi wa CCM makao makuu au wengine walikuwa wizarani etc.
Na pia nyumba atapewa...
Pascal naweza kukubaliana na ww kile unacho jaribu kuwaza juu ya JPM na ni kizuri kabsaa ndio maana umeunga mkono hoja...lakin umesahau kuwa huwezi kujua usiku kama hujawai ona mchana!
Tafsiri yake ni kwamba huwezi uona uzuri wa JPM bila kuona utawala wa watangulizi wake.
Na mtu hujifunza...
Yeah...naunga mkono hoja! Majaliwa anakuondoa kwenye reli na sababu unazijua live maana atakuulza maswal magumu ambayo huna majibu nayo na ili hali ulikuwa mtendaji wake, pia ushirika huko mikoani karudisha heshima hawana hamu naye!
Kuna vitu ambavyo kwa hakika vinahitaji marekebisho hasa kwenye katiba yetu! Na pale ikitokea kiongozi wa juu kama rais akatumia yale ya katiba hii tuliyonayo ndipo udikteta hutokea!
Kwa kauli ya rais siku ile anasema anashaur ofisi ya DPP wengine tulijua huo sio ushauri bali ni "order" kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.