RCs wanalipwa kiasi gani?

RCs wanalipwa kiasi gani?

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,435
Reaction score
1,626
Habari!

Naomba kuuliza Mkuu wa mkoa au Wakuu wa mikoa wanalipwa Tsh. ngapi?

Karibu!
 
Kwa mkuu wa mkoa hulipwa sh. Million 6 kabla ya kodi.. pia nyumba wanazoishi za serikali hulipiwa utilities zote (maji, umeme)..

Wakuu wa wilaya hulipwa million 3 kwa mwezi kabla ya kodi


Pamoja na hayo bado kunakuwa na marupurupu mengine mengi kutegemeana na geographical area!

Mleta mada anza kusifu na kuabudu yamkini utakumbukwa!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mkuu wa mkoa hulipwa sh. Million 6 kabla ya kodi.. pia nyumba wanazoishi za serikali hulipiwa utilities zote (maji, umeme)..

Wakuu wa wilaya hulipwa million 3 kwa mwezi kabla ya kodi
Asante sana. Nashukuru kwa ueleweshaji wako.
 
Mtoa mada unajua sifa za kuwa mkuu wa mkoa lakini?ukiacha ile ya kujua kusoma na kuandika
 
RC analipwa mil. 6, kwa msharaha wake lakini ikitokea huyo RC kateuliwa kutoka kwenye kazi nyingine iliyokuwa na mshara zaidi ya mil. 6 basi atahama na mshahara wake, mfano hao wanajeshi au wengine walikuwa watumishi wa CCM makao makuu au wengine walikuwa wizarani etc.
Na pia nyumba atapewa bure, umeme na maji atalipiwa na atapewa mkopo wa gari, atapewa airtime kila mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom