Taarifa Muhimu Kutoka CCM

Taarifa Muhimu Kutoka CCM

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wanafamilia Wote.

Leo tarehe 6 Oktoba, 2019 saa tatu na robo usiku (03:15) Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM atakuwa na kipindi maalum cha "Hamza Kasongo on Sunday" katika Channel ya TV E inayopatikana ving'amuzi vya Azam namba 116 na Star times namba 115.

Karibuni sana kufuatilia

Imetolewa na;
CHAMA CHA MAPINDUZI
OND- LUMUMBA.
 
Dah.. Hii taarifa ni nzito na inatisha mno.. Ikichapishwa yote patachimbika.. Hasa hapo palipokolezwa rangi.. Yani hata yeye kumbe yumo
 
Taarifa ipo wapi
Taarifa ipo wapi
Hatimaye imefika

Wanafamilia Wote.

Leo tarehe 6 Oktoba, 2019 saa tatu na robo usiku (03:15) Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM atakuwa na kipindi maalum cha "Hamza Kasongo on Sunday" katika Channel ya TV E inayopatikana ving'amuzi vya Azam namba 116 na Star times namba 115.

Karibuni sana kufuatilia

Imetolewa na;
CHAMA CHA MAPINDUZI
OND- LUMUMBA....
 
Majinga tu ndo yatafuatilia ujinga sisi wajanja muda huo tutakuwa Viti virefu tunakula bia kwa mrija
 
Majinga tu ndo yatafuatilia ujinga sisi wajanja muda huo tutakuwa Viti virefu tunakula bia kwa mrija
Hapa nipo viti virefu na bar maid namchezea na kishalainika hatari fayaaaaa. Nampango wa kumpeleka kwenye dark nimgegede.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Aiseee....kwahiyo hiyo ndio habari kubwa issue za chama? Na unategemea kuna jipya hapo zaidi ya kumsifia mwenyekiti kutekeleza ilani?
 
Leo nina kipindi na dadaako, siwezi kuangalia huyo mtu akiongea siasa za hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom