Recent content by mb man

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

    Mabeto kachungulia mshiko tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Electronic money system(Mobile money system) ni mfumo wa kishetani

    Sasa tulipo fikia hatujui tumwamin nani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

    Kulipa kodi ni uzalendo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wafaham wasanii wanaojutia kujiunga kwenye kampeni Za ccm mwaka 2015

    Pumba tupu mbona umedili na mmoja tu? Ngoja nikumbushe mkuu anae juta zaidi ni Wema maana alikata mauno ili biashara zake zisonge sasa magu kageuza mchezo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wana JF kuhusu suala la mapenzi bila kinga

    We chapa mzigo, nasema chapa mzigo kavu kavu mpaka kieleweke
  6. M

    JamiiForums Tanzania AJALI ARUSHA: Watano wafariki dunia baada ya kuangukiwa na mti wakiwa ndani ya nyumba

    Yani huyu mbunge wetu anavyo penda matukio mpaka anaboa kweli mkuu akaongee na huko maana hajuagi hata kujenga hoja zake binafsi ni kiki 2
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ajali Lucky Vincent School: Uzembe, Tamaa, Ubadhirifu na Kutokujali Usalama wa Wanafunzi

    Ni ukweli usio pingika hawa jamaa wa mashule wanatumia magari mabovu sana, niwakati umefika serikali kuliangalia kwa umakini mkubwa hili swala
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wahariri leo mmeonyesha uzalendo wa hali ya juu sana

    Jf wapumbavu wako wengi kuliko waelewa ndio ninacho jifunza humu, hivi huu uzi unatufundisha nn?!!!! Pumbavu zake mleta mada
  9. M

    JamiiForums Tanzania viongozi wa dini mmesahau kukemea haya, mumemwachia Gwajima pekee

    Gwajima hakemei mabaya kwa maslahi mapana ya nchi yake na ndio maana hamna alilowahi kusema kabla ya mtu kumtaja kwa namna moja au nyingine, ndio ataanza kutupatia mazaifu yake, me naona jamaa mpiga dili tu,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa maelezo ya Msanii Roma baada ya kuongea na waandishi wa habari

    Kiki hizo wasanii we2 njaa mingi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Utata: Uvamizi wa clouds FM

    RC ungejua kabla usinge wagusa wala unga na wauzaji maana wanavokuchukia mpaka inaogopesha
  12. M

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Waziri wa Katiba na Sheria aomba Shikuba akashtakiwe Marekani!

    Bora iwe mbele mbele hapa bongo itageuzwa juu chini
  13. M

    JamiiForums Tanzania Trump launches military strike against Syria

    Us wakimpiga bashari hiyo nchi haitatulia tena, coz us anachokifanya analisaidia kundi flani linachukua nchi na wao wanachukua chakwao wanaondoka bila ya kukaa na kuwaweka watu pamoja ili wao wakiondoka amani iwe imepatikana ya kudumu,
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Halima Mdee kumtusi Spika, tunakoelekea ni kubaya zaidi

    Bila bangi madawa mirungi na viroba kuzuiwa sizani kama matusi yataisha, Makonda okoa Tanzania
Back
Top Bottom