Recent content by Mazugwa

  1. Mazugwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kunyonyana Sehemu za Siri

    Mkuu umeongelea kuhusu ongezeko la vitendo hivyo nataka kujua kwa asilimia ngapi? Au ulitumia viashiria vipi kujua kuna ongezeko la vitendo hivyo? Na kama mtu anaweza akakuambukiza gono mdomoni basi anaweza akakuambukiza kwa sex so kiufupi waambie waache uzinzi na ngono zembe watakufa
  2. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Maisha yanazidi kuwa magumu, familia inanitegemea na sinachochote cha kuwapa. Kichwa kinawaka moto sijui la kufanya!

    Pole sana mkuu,una ujuzi gani na previous ulikua unafanya kazi gani
  3. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Maisha yanazidi kuwa magumu, familia inanitegemea na sinachochote cha kuwapa. Kichwa kinawaka moto sijui la kufanya!

    Wapo watu wengi ambao wanapitia mambo magumu,kitu cha msingi ni kua umekubaliana na hali basi usikate tamaa,kama mtoto ni chini ya miaka 5 fanya uwezavyo apate bima ya afya,alafu kwa kile kidogo unachopata toa kidogo wekeza kupata mtaji kiasi kumpa mkeo azungushe usisubir iwe nyingi hata kiasi...
  4. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa chipukizi Taifa anaweza kufokewa na Mkuu wake wa Shule?

    Mzee system ya elimu yetu ndio upuuzi maana hata waamuzi wa mambo makubwa kwa nchi yetu wengi wao hawajaenda shule,Elimu inawapa wengi uwezo wa kubadirisha mboga tu wengi wao wanastress za madeni na msururu wa majukumu acha watoto watengenezee njia ya kupiga pesa za kodi ya watanzania
  5. Mazugwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acha kuingiza Malaya ulipopanga

    Kuna mifano mizuri na mifano mibaya kwenye jamii na yote ipo ili waja wajifunze,ni mtu kuamua ni aina gani ya mfano kwenye jamii anataka kuwa..NB:Mifano yote ni muhimu kwa ustawi wa jamii kwa hiyo acha waishi walivyochagua na wewe ishi ulivyochagua
  6. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

    Me naona hapo tatizo sio binti yako tatizo ni wewe
  7. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Usiende Dar kama hauna ramani ya uhakika

    Maisha kamari bro,kuna waliokuja wakatelekezwa Wakapambana wakatoboa,kama upo kigulunyembe na maisha hayaendi pambana uende wewe,watu wanazamia mbele huko hata lugha hawaijui itakua hapa dar?High risk high return cha muhimu usitake kuishi maisha ya insta,wala usichague kazi na usisahau njia ya...
  8. Mazugwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

    Watoto wawili kila mmoja na baba yake bro ur the next victim kama utachagua single mother
  9. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Ndugu unaempa mtaji ajitegemee anaanza upya kukuomba pesa hana mshipa wa aibu?

    Kwenye biashara kuna mambo mengi mzee,na pia sio kila mtu anajua basics za biashara hasa upande wa mapato na matumizi ndio maana kuna watu huwa wanafanya biashara maisha yao yote na hakuna kitu wanapata,pia wapo ambao kusimama kwa biashara zao hugarimu muda mrefu na pesa za ziada nje ya...
  10. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

    Anazingua sana uwezo wa timu haupimwi kwa kuwekwa na vibonde,nani aliwaza kwenye group la simba mwarabu atapoteza mechi mbili tena moja sebuleni kwake
  11. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

    Acheni kuweweseka na kutafuta sababu zisizo na msingi pambaneni hapo hapo mlipo,malalamiko fc mnazingua sana
  12. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Mshahara ni dawa ya kulevya

    Wengi wanaotoa kauli kama hizi hawana ajira,protective mechanism
  13. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye hizi massage za huku Dar hawaogopi UKIMWI?

    Kwa wiki unatumia zaidi ya laki nne na nusu kutafuta HIV,bro High risk high return
  14. Mazugwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu alinificha kwamba ameathirika

    Wote mna makosa,kosa lako wewe ni kumuamini sana mpaka mmezaa mtoto bila kupima,ina maana hata clinic wakati wa ujauzito ulikua unamkimbia anaenda pekeake(hii ni kawaida kwa wanaume wenye wasiwasi na afya zao hutelekeza wake zao waende clinic wenyewe kukwepa kupima vvu),kosa lake yeye ni...
  15. Mazugwa

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na unywaji wa pombe, lakini sijui naanzia wapi

    Inategemeana na aina ya pombe unazokunywa,kama ni bia anza kupunguza idadi ya chupa unazokunywa taratibu kama huwa unakunywa 10 anza na 9 au 8 then punguza safari za bar unaeza nywea hata home sometimes,punguza marafiki ambao muda mwingi mkiwa pamoja mnaongelea pombe,tafuta vitu vingine vya...
Back
Top Bottom