Mshahara ni dawa ya kulevya

Mshahara ni dawa ya kulevya

Mshahara wowote unaolipa hua ni cocaine iliyowekwa na wajanja kuua ndoto zako...kwahyo kadili unavyo tafuta kampuni ya kukulipa Hela nyingi maanayake unapambana mwenyewe kutumia hii DAWA ya KULEVYA (mshahara) kuua kipaji au ndoto ..tafuta boss mzuri
Acha kutumia hizo 'dawa za kulevya' ndio uelewe kama unachokisema ndio chenyewe. Hata ukifanya biashara, utataka kupanua biashara na kuongeza bidhaa tofauti tofauti (product/ service mix) ili upate fedha zaidi.
 
MSHAHARA UNAUA NDOTO ZAKO BLAH BLAH Hii hoja huwa naiona ni hoja dhaifu sana.

Kwangu mimi Ajira ni Soko la kuuza na kununua ujuzi au nguvu kazi, hakuna mtu anaua ndoto zako ila unauza ujuzi au maarifa yako kwa mwenye uhitaji.

Pia Kwangu Mimi mshahara ni mtaji, Ndio ni mtaji Kwasababu tupo kwenye mazingira ambayo ni ngumu kupata mtaji sasa ujidanganye et hutaki kuajiriwa Sijui utatoa wapi huo mtaji zaidi ya kukesha kwa manabii wa uongo kusubiri mtaji ukushukie kwa miujiza.

Basi tukubaliane na ninyi ajira/ mshahara ni kuua ndoto zetu, tuelekezeni iliko mitaji tukaichukue tufanye biashara.

Mnayajua kweli masharti ya kupata mkopo bank??? Huyu kijana Muhitimu hakopesheki hata mikopo umiza, hana hata vigezo vya kukopeshwa bodaboda mnamwambia ajira/ mshahara ni kuua ndoto zake kweli??? Hamna hata aibu?
Wengi wanaotoa kauli kama hizi hawana ajira,protective mechanism
 
Mtaji namba Moja ni wazo lililo crea fedha ni kitu tu au nyenzo tu na nirahisi saaaaana kuipata niamini ...endelea kupambana utakuja kujua kwmba kumbe chenye thamani kubwa sio hii mikaratasi ni mawazo yakinifu yenye uwezo wa kuleta idadi yyte ya fedha
Hii wachache mno watakuelewa. Pia inategemeana mtu nafsini mwake,Kuna watu wanapenda maisha ya 95 jobs , yaani huwa Kuna different predators having different hunting strategies how to get their prey mkuu. Kikubwa Ni kujijua na Ni greatest gift ukipenda kitu kikakupenda yaani unakuwa chosen na sio ku choose
 
Yule hamhudumii mtu mmoja... Anauza bidhaa yake Kwa billions of people anauza furaha kutokana na kipaji chake..achana na kuwaza kua manager wa bank ...na vitu kama hvyo ...yule Hana tofaut na anachofanya davido au mond ...wanabidhaa inaitwa burudan wanawauzia watu weeeengiiiii ila team anazochezea nikama amewaajir kumchukulia Hela Kwa hao watu...ambazo ndio wateja wake
Unachokifanya Ni kucheza na maneno tu.
 
Mshahara wowote unaolipa hua ni cocaine iliyowekwa na wajanja kuua ndoto zako...kwahyo kadili unavyo tafuta kampuni ya kukulipa Hela nyingi maanayake unapambana mwenyewe kutumia hii DAWA ya KULEVYA (mshahara) kuua kipaji au ndoto ..tafuta boss mzuri
Kuna makundi ma4
1. Mwajiriwa
2. Aliyejiajiri
3. Mmiliki wa biashara
4. Mwekezaji
Hizi ni hatua kila mtu anatakiwa kuzipita kufika namba 4.
Mwajiriwa mtaji wake ni nguvu au ujuzi.
Aliyejiajiri mtaji wake ni nguvu /ujuzi na pesa
Mmiliki wa biashara ana mtaji/pesa/asset na anatumia nguvu na ujuzi wa waajiriwa
Mwekezaji anatumia mtaji/pesa kutengeneza pesa.
Mshahara ni dawa ya kulevya ,Yes.
kama utabaki namba 1 mpaka kustaafu.
 
Mshahara wowote unaolipa hua ni cocaine iliyowekwa na wajanja kuua ndoto zako...kwahyo kadili unavyo tafuta kampuni ya kukulipa Hela nyingi maanayake unapambana mwenyewe kutumia hii DAWA ya KULEVYA (mshahara) kuua kipaji au ndoto ..tafuta boss mzuri
Kwa hiyo tufanyeje sasa?

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kwenye maisha usipende sana kusikiliza na kufuata shauri za watu, utapotea usiposimamia maamuz yako.

nimekaa streets 5 years bila hiyo unayoita biashara, nimejarib umachinga naona kabisa sitoboi, nimechoma mkaa lkn wapi, nikaenda had mgodin kule kanda ya ziwa nusura nitoe uhai lkn wap.

Nimekuja nimepata ajira, nimeoa kupitia ajira, ninaenda kujenga kupitia ajira, familia inanitegemea kupitia ajira, bank navuta loan kupitia ajira, halafu anakuja mpuzi km huyu anaongea upupu, kuna wana wapo kitaa wanasota wanataman mm nilivyo.

Wewe ungetoa ushaur kuwa tusitegemee mishahara tuwe mbadala wa pili kusukuka maisha lkn sio kusema Totally kuwa ni dawa ya kulevya, big no, tinaheshim snaa ndo zinatuweka mjini hapa.
Period
Huo ushauri mzuri toa wewe Kuna watu watakuelewa na Mimi nawapa ambazo utawafaa wewe huwezi kuelewa
 
Kuna mataahira wala siyo ya kusikiliza! Zamani hata mimi nilikuwa napingana sana na watu wanaolilia kazi za kuajiriwa eti nasema kwa nini usifanye biashara kwa kutumia hiyo taaluma yako? Hii no kwa mujibu wa elimu tunayopewa vyuoni kuhusu entrepreneurship! Sasa bwana, 2021 kazi niliyokuwa nayo ikawa imeisha nikarudi kitaa, weeeee, asikwambie mtu kuhusu mshahara. Pamoja na kulipwa mafao yangu kwani nimeenda wapi? Hela unapeleka kwenye biashara lakini huioni imekata. Nikaamua kusaka ajira kwa nguvu zote, Mungu si Athuman nimepata kazi ya mshahara tena ambayo naanza mwezi huu! Mtu asinishauri ujinga wa biashara tena!
Hahahahahaha
 
Kuna makundi ma4
1. Mwajiriwa
2. Aliyejiajiri
3. Mmiliki wa biashara
4. Mwekezaji
Hizi ni hatua kila mtu anatakiwa kuzipita kufika namba 4.
Mwajiriwa mtaji wake ni nguvu au ujuzi.
Aliyejiajiri mtaji wake ni nguvu /ujuzi na pesa
Mmiliki wa biashara ana mtaji/pesa/asset na anatumia nguvu na ujuzi wa waajiriwa
Mwekezaji anatumia mtaji/pesa kutengeneza pesa.
Mshahara ni dawa ya kulevya ,Yes.
kama utabaki namba 1 mpaka kustaafu.
Wewe Sasa ndio unaelewa maana ya kilichoandikwa twenzetu man ya kuyaajir mengi sana kumbee
 
sijaelewa.


JESUS IS LORD

The meaning of a Lord is not god, it means master, leader, king.

John 13:13: Jesus said ''You call me teacher and lord;and you are right,for so I am''

With the above statement of Jesus,the Christians claim that Jesus is God;can this be true ? No.


The word ''lord'' or your majesty is a terminology that is commonly used in the Bible to address some important personalities.

For example,in Genesis 33:8 Jacob addressed Esau as his lord.

In 1kings 1:2 David was addressed as lord by his servants.

And in 1kings 13:7 Elijah was addressed as lord by Obadiah.

Do we then call them Gods ?

No!.

These kinds of example are many in the bible.

Even in this modern world,Judges,Kings and other important dignitaries are always addressed as ''My lord'' or ''Your majesty'' or ''Your Royal Highness'' or ''Your Excellency'' or ''Your Eminence''

It is true that there are many so-called gods,lords,kings,but the God of all Gods and Lord of all Lords and the king of all kings is Almighty God ,Allah
 
Back
Top Bottom