Katika jambo kubwa alilolifanya Rais wetu ni kutuondoa kuwa na hofu, kama mtakumbuka wakati ugonjwa umeingia watu walitaharuki lakini kwa uwezo aliokuwa nao akarudisha imani kwa wananchi kwa kusisitiza watu wazingatie maelekezo ya wataalam.
Na alisisitiza huu ugonjwa na ugonjwa kama yalivyo...
Wewe kama umezoea kula vya kunyonga sasa fahamu kipindi hiki ni kula vya kuchinja tu, watu tubadirike, tufanye kazi kwa bidìi, njia zote za mkato na zisizo za halali tuziache!!!
Umeuliza swali zuri sana kwa mustakabali wa Tanzania, binafsi ninaamini wa Tanzania watafahamu vizuri thamani ya maisha kwa sababu maisha ya mkatomkato yatakuwa hakuna, watu watafanya kazi kwa bidìi, kila mtu atathamkini kipato chake kulingana na uwezo wake wa kufanya kazi, rushwa itapungua sana!!!!
Sifa kubwa nafikiri kuliko zote kwa mwanamke ni awe ni mwenye kudeka, deko ndilo uleta yote uyajuayo katika mahusiano ya kimapenzi, kwa ujumla huyu uliyenaye ajakidhi kiwango cha kuwa mke wa mtu!!!
Fuatilia kwa undani utanipa jibu!!!
Kama ulikwa hujui, leo fahamu hakuna pigo kubwa nafikiri linakaribia kushinda yote, kama mwanamke (mkeo) akikukosea harafu usimuulize wala usimuadhibu kwa kumpiga au kumfokea basi hapo utakuwa umemtesa vya kutosha na hiyo njia kwa ujumla unaweza kusababisha mauaji, usithubutu kuitumia njia hii...
Nyote tambueni chuo kikuu ni jumla ya mambo yote ambayo mwanadamu anajifunza kuitambua Dunia na ambavyo viko nje ya Dunia, hivyo basi kusoma chuo kikuu si lazima mazao yake uyaone mojakwamoja, kwa hiyo msiwalaumu ambao wamemaliza katika fani fulani na usiyaone anayoyafanya hapo kwa hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.