Recent content by Mazezele

  1. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Zitto: Rais hana haki kuhalalisha nyimbo ya msanii yeyote kuchezwa au kutochezwa

    Ndumila kuwili wa ujiji
  2. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Taasisi za dini mko kimya

    Nawaza kwa kulia, mbona jumuia za kidini mpo kimya, nini kilicho wasibu, HAKUNA waraka wowote juu ya mihemuko hii iliyopanda kichwani mwa watanzania, Nani atuongoze kukemea haya, tumekuwa Kama Wana wa Israel kwenye mlima wa Babel, hatuelewani kabisa, sio wanaaiasa, wanahabari, wananchi, wote...
  3. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Nakwenda India Kesho, Kinana yuko Hospitali Gani Nikamsabahi?

    Hiyo kazi MWACHIE HAMORAPA
  4. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Ugomvi ndani ya nyumba unaweza kufanya ujinyonge?

    Ni pale ambapo ndani ya siku mbili nimeshuhudia wanaume wawili wakijinyonga, WA KWANZA mfanya biashara na wa pili Mwl, hawa wote inasadikika ni kitokuwepo kwa uelewano na wake zao. Sasa swali ni kweli kwamba wanaume tumeshindwa kumudu changamoto za Maisha hasa pale panapotokea ugomvi wa mke na...
  5. Mazezele

    JamiiForums Tanzania ITV wamkaushia Makonda, naye asubuhi aliwakaushia

    Wakafie MBELE huko, waache lkn wajue staling hauawi
  6. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuswekwa lockup(selo), Unakumbuka nini?

    Kuna Joto la kufa mtu, hasa Kwa lockup za Ntwara
  7. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Waraka maalum wa kujivua Uanachama ndani ya CCM

    Aliyekuroga hajafa utalekeweka na adhima yako
  8. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Picha: NYATI Wanakufa kwa Njaa na Kiu,Maombi muhimu!

    Na huku Rais apeleke chakula???
  9. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Serikali Yalipa onyo Gazeti la Mtanzania

    OK I o L
  10. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Majina ya HESLB wadaiwa sugu ni feki? Kwanini hayaeleweki?

    Naomba ya 2009-2010
  11. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    We nzie wanakwea Bombadia yeye kashikilia nonndo gerezani
  12. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Mshindi wa Urais Marekani, Donald Trump

    Bainisha matakosa na utueleze ilitakiwa iweje
  13. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lema apandishwa kizimbani, afunguliwa kesi 2 za jinai. Anyimwa dhamana

    Ngoja wamnyooshe, nchi ya mwenyewe hataki mchezo mchezo
  14. Mazezele

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, kuzuia Fao la Kujitoa madhara yake ni zaidi ya tetemeko!

    Nipeni majina ya KIHAYA nimchagulie First Born wangu wa KIUME
Back
Top Bottom