Serikali Yalipa onyo Gazeti la Mtanzania

Serikali haina mamlaka ya kuingilia vyombo vya habari, ndio maana ule mswada wa sheria hatuutaki, kama jk na familia yake wana matatizo na hilo gazeti walifungulie mashitaka mahakamani, sio serikali kujiingiza katika shughuli za waandishi wa habari na kuwafumba midomo.

Hapa naona serikali inajaribu kuwa kingia vifua vingozi kulinda maslahi yao katika hii nchi
 
Wandishi fuateni maadili kama tanayofanywa na tbc ya juficha ukweli wa habari kama walivyofanya juzi tukio la wananchi kuvunjiwa nyumba zao kivule ambalo ni tukio kubwa hapa mjini lakini shirika la habari la taifa lilikuwa kimya kabisa kuhabarisha wananchi ambao hadi sasa watu wanalala nje Kama kagera waathirika wa tetemeko!
 
Kwa nini asifafanue ilikuwaje?

JK hakuwepo ina maana wale waliozuiliwa ni kina nani na walikuwa kwenye msafara gani?

Au hakuna kabisa waliozuiliwa?
 
Fine, ni habari ya uongo. Lakini habari hiyo kama ni ya uongo inawezaje kugombanisha hao viongozi? Nafikiria tu kama JK anajua kuwa hakuzuiliwa kwa namna yoyote ile na serikali, anaanzaje kuichukia serikali au Magufuli binafsi kwa kuwa tu habari au uzushi huo umeandikwa gazetini? Au uongo huo unaweza kuwagombanisha kivipi?
 
Serikali haina mamlaka ya kuingilia vyombo vya habari, ndio maana ule mswada wa sheria hatuutaki, kama jk na familia yake wana matatizo na hilo gazeti walifungulie mashitaka mahakamani, sio serikali kujiingiza katika shughuli za waandishi wa habari na kuwafumba midomo.

Hapa naona serikali inajaribu kuwa kingia vifua vingozi kulinda maslahi yao katika hii nchi
OK I o
L
 
Umesikia JK ameongea au familia yake? Kwanza huwa hana hayo mambo. Kukingia kitu gani sasa, kama alizuiwa akakaa akaenda zake karudi yuko na mambo yake. Sasa JK shida ana gazeti itoke wapi, yeye hata umtukane wala hajali anajali yake
 
Mbona wanaliogopa gazeti lile linalotumiwa na Shekh Khalifa kueneza uchochezi na kumtuhumu mtukufu Rais kuwa anawabagua Waislamu?

Hata mimi ndio nashangaa, Sheikh Khaliafa na gazeti la Mizani wamemwaga sumu kubwa kuliko ya hilo gazeti la Mtanzania, tena sumu ya udini lakini mpaka sasa hatujaisikia Jamuhuri ya Muungano ikiwakemea au kuwachukulia hatua, Anyway ngoja tusubilie labda wanajifanyia uchunguzi!.
 
1. sukari imefichwa tutaikamata mpewe bureeee.
2. kuna mtu anaingiza milioni 7 kwa dakika.
3. kuna "malaika" wanalipwa mil 40 kwa mwezi.
:D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom