Historia ya udikteta huanza kwa style hii ya kuwafunga watu mdomo kiasi kwamba mtu akiwa hana hoja yenye mashiko anaogopa kuzungumza kumbe hata kama hoja haina mashiko inaweza ikapewa ujazo na wenye weledimwengeso: Kama huelewi kitu bora unyamaze kuliko kujidhalilisha namna hii. Ukiambiwa utwambie kosa la Ney ni mahakama gani imemkuta nalo utasemaje? Rais hutoa msamaha kwa aliyepatikana na kosa. Hivi hiki chama chetu mbona kina wafuasi mbumbumbu hivi?
Rais akishalisemea hilo jambo, kashaingilia uhuru wa vyombo kufanya kazi zake.Rais hakutoa order...ndo maana Mwakyembe amewaomba BASATA...it wasnt an order....huu upinzani tiamaji tiamaji unasikitisha sana
Nilishawahi kuandika humu thread inasema"KABWE IS FALLING FROM ZITTO TO ZERO" ,cha ajabu mods wakanifanyia fitna wanaifuta, lakini ukweli ni kuwa zitto anapwaya sana nowdays. Anapoteza ubora wake aliokuwa nao siku za nyuma na sababu ni unafiki wake.Likitokea jambo limefanywa na Rais lenye maslai kwa upinzani kupatia points lazima watafute pa kupinga tu.
Education EducationZitto zamani akisema nchi inasimama kumsikiliza....akishusha nondo za ukweli hadi huku vijijini tunawabatiza jina la Zitto vijana wenye hoja nzito kwenye mkutano wa kijiji.
Sasa naona kaambukizwa siasa na matamko ya hovyo ya akina Lema na Mbowe! Twaaaaaafa!
You should know that Zitto had all along consistently enjoyed regular funding from NSSF Tsar, therefore had spare time to brows, review or read extensively. As of now, and with multiple family obligations, Zotto may no longer has time to review various documents, which previously constituted his resourceful stock.Nilishawahi kuandika humu thread inasema"KABWE IS FALLING FROM ZITTO TO ZERO" ,cha ajabu mods wakanifanyia fitna wanaifuta, lakini ukweli ni kuwa zitto anapwaya sana nowdays. Anapoteza ubora wake aliokuwa nao siku za nyuma na sababu ni unafiki wake.
Zitto ni mbumbumbu wa katiba ya nchi yetu na sheria zake.BASATA ni taasisi ya nani na iko chini ya nani? Kasome ibara ya 35 ya katiba ya nchi yetu.watu wa mwandiga wanabahati kumpata zitto