Recent content by Mayweather78

  1. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Wanawake hawajawahi kujulikana wanataka nini kwenye MAISHA yao. Mwalimu kuzidiwa kete na Bodaboda 😞😞😞
  2. Mayweather78

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

    Mwambie Mwamvuli wako haukunjuki ila umeenda Kwa doctor amekupa tiba unataka kujaribu kwake kama umepona Mbona EASY tu anakutunuku Kijana acha woga 😂😂😂😂😂
  3. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Choo kigumu (kama jiwe)

    Kwenye ushauri uliopatiwa kuhusu aina za milo uliyoambiwa, kunywa maji mengi na mengineyo NYONGEZA: Kulingana na kazi yako ni ya kukaa kwa muda mrefu ongezea kufanya MAZOEZI kila siku at least 30 minutes
  4. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

    Watanganyika wanaumizwa na Mboko za wamasai, kuambiwa Zanzibar twende na Passport na mboko kwa wanaokula mchana wakati wa Ramadhani
  5. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na mtu anachekesha sana bila kutumia nguvu?

    Mtaa una vipaji vingi kuliko tulivyojaaliwa kuviona kwenye official platforms
  6. Mayweather78

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

    "Usimchunguze kama huwezi kuhimili kumuacha"
  7. Mayweather78

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    "Enyi wanaume wapendeni wake zenu na wanawake watiini waume zenu" Jukumu la kupenda sio lao wanawake Kitendo cha kuwepo home na kutekeleza matakwa ya waume zao (Kuwatii) wamemaliza jukumu la msingi. Kwahyo usiwabebeshe jukumu lisilo lao
  8. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Arsenal atamaliza bila taji msimu wa 2023/24

    Maneno yanaumba Brother
  9. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Chelea man - Nipende kama nilivyo
  10. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Dunia iliishia 1999

    Bro! Kwani drones za IRAN zilikukuta uko wapi? Seriously, you need ONE SLAP
  11. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Hii ndio bajeti ambayo haikosagi hela toka Serikalini

    Point kubwa sana hii
  12. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wapo kimya suala la ajira za Ualimu na Afya

    Hadi mwaka mpya wa kiserikali
  13. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

    Hata msibani panapikwa haiwezekani mambo mengine yasiendelee kisa msiba.
  14. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Niliwahi kusikia mahala kuwa IPhone ni kama Savanna tu yaani anayenunua haitumii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  15. Mayweather78

    JamiiForums Tanzania Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

    Watu weusi tutafika mbinguni tukiwa tumechoka mno Tumesota kwa wazee wetu maisha magumu tunakula kinachopatikana tukajiapiza tukijitegemea tutakula mapochopocho mara tunakutana na makatazo ya Dkt Janabi, tukiingia msikitini au kanisani makatazo ya sheikh au padri, tumeachana na vyoo vya kulenga...
Back
Top Bottom