Recent content by mayowela

 1. mayowela

  Yupo Wapi JULLY TAXI yule wa saladin

  yuko mwanza maeneo ya mabatini
 2. mayowela

  Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

  si kweli TIGO wameisaliti Clouds, Tigo bado anafanya biashara na Clouds ndio maana mpaka sasa unasikia matangazo ya Tigo yakichezwa, Tigo aliingia mkataba na Clouds kwenye tamasha la Fiesta, mkataba ule ulikuwa na ukomo lijue hilo kwanza, japo ukomo sintouweka wazi sababu huwa kuna terms na...
 3. mayowela

  Namkubali sana mtangazaji Denis Mwasalanga wa RFA

  Mbudu alishaondoka RFA yuko Times fm ikuhizi
 4. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  hahahahahahha
 5. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  ni vema kuheshimu maamuzi ya mtu, lakini kuna wakati ukitanguliza maslahi mbele utajikuta unaua career yako, J e Lil Ommy aliekuwa ana trend Times fm ndio Lil Ommy huyu ambae yuko Wasafi kwa sasa..?, je pick yake bado iko pale au imeshuka..? TUWAPE MUDA
 6. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  KTN/CITIZEN vipindi gani?
 7. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  Zamani ulikuwa unatumia njia gani kumsikia?
 8. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  Hahaha ID yake sio
 9. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  Nakuelewa masta, nachangamsha Genge, Vitu vingi vimeishafanyika, hata BIG SUNDAY LIVE, ni marudio tu, but kwa kwetu huku na kama hufatilii mambo tunaona ni kitu kipya. Kudos
 10. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  Hahahahaha
 11. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  Same to Salama Na.., si ndio..?
 12. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  Kwenye Mkasi, lini muhojiwa na muhoji walicheza games, kunywa kinywaji?
 13. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  Program moja kwa wiki lazima watu wakusahau, tofauti na ukiwa masikioni mwa wasikilizaji kila siku
 14. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  Wengi wa wapenda vipindi vya Tv na Redio hususani Burudani jina hili sio geni, Baada ya Kutoka Times fm alisajiliwa Wasafi Media na baadae kutimkia E FM/E-TV. Jamaa hajafanya sana program za redioni kama upande wa TV. Yes, wengi walimfahamu kwenye "Now you Know" kupitia YouTube account yake...
Top Bottom