Namkubali sana mtangazaji Denis Mwasalanga wa RFA

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
2,000
Mazoea tu mkuu, kuna Wambura Mtani, Yusuph Magasha na Rebeca Mulesi, Jazila Mshana, Mwana Unique, Faustine Stephano, Charles Machugu ila Mbudu The Boss anasound kama Mchomvu ingependeza atafute Tone yake Aiseeee!
Mbudu alishaondoka RFA yuko Times fm ikuhizi
 

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,920
2,000
Tatizo la huyu dogo ni kutoficha ukada wake wa CCM, habari zinazohusiana na uoinzani ukiona kaishabikia jua ni habari hasi tu, zile chanya huwa anaziskip
Habari wanajamvi wa JamiiForums. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiutumia kusikiliza RFA hususani kuanzia ile saa 12:00 asbh Hadi 1:00 asubuhi, lengo likuwa ni kusikiliza kipindi cha BBC na magazeti hiyo asbh kabla sijaingia job.

Lakini huwa naenjoy sana siku za weekend ambapo huyu mtangazaji Denis Mwasalanga husoma magazeti. Ana something special compared to others hasa kuchombeza maneno fulani na kuongoza mjadala.

Nafikiri ana deserve kuwa kwenye media inayojielewa due to his creativity na sio RFA ambayo kwasasa imechoka kweli.

Huu ni mtazamo wangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom