Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
2,701
2,000
'Nimekupuuza rasimi Kwakua,huna lolote unalolijua kuhusu biashara, na elimu yako ni ya kwenye makaratasi na haijakusaidia chochote.'

Hahah umeulizwa value ya Brand kwny B/Sheet ya wasafi unaanza kuruka ruka.

Sikukutuma ukimbie shule arifu,hahah.
wewe ndo nimekupuuza rasimi, haujui maana ya BRANDING INTETEST KWENYE BIASHARA, na ndo maana unaruka ruka Rudi hata la Saba B , ukasome biashara, Mimi ndo kigogo wa BRELA Ko sibishiwagi
 

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
2,701
2,000
'Boya ni wewe jobless, ulieshinda humu jF kuanzia uzi uanzishwe hadi usiku huu Ili ubishane na ukweli unaoelezwa na watu'.

Hahah haya mambo huwezi kuyaelewa,wewe subiri uhadithiwe na radio mbao za huko mtaani,BTW Wkt unakuja mjini stand uliikuta iko wapi?Mnazi mmoja au Ubungo?

Hahah cha ajabu boya mkuu ambae ni (Mwajiri) yuko anabishana na boya mwenzake(ambae ni jobless),hakika kipofu kauona mwezi.
wewe ni boya sana,WASAFIMEDIA GROUP (WMG) UNDER THE YOUNG GENIUS DIAMOND PLATINUM
 

BM X6

Member
Nov 24, 2020
43
150
haiwezekani na haitatokea, tangu lini diamond platinumz awe Pepsi na coca cola ambassador kwa wakati mmoja...!!!??
Sidhani kama uko sawa wewe, ingekuwa haiwezekani basi hao Tigo wangeishia kupeleka matangazo yao ya JAZWA UJAZIWE Wasafifm tu, ila mbona wanapeleka hadi Clouds na radio zingine. Sasa kipi hapo kishindikane kudhamini matamasha yote mawili?
 

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,575
2,000
'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'

Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?

Kusaga ni kichwa sana arifu.
Sio kweli,mmiriki sio mmoja,
Mwenye hisa wasafi ni mke wa Kusaga,sio Kusaga mwenyewe,
This is business,business has nothing to do with marriage
 

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,123
2,000
Habari Wana jamvi;

Kwa mwendo huu wa WASAFITV kuruhusiwa kuonyeshwa bure kwenye kisembuzi Cha AZAMTV ni ukomavu na ukuaji mkubwa wa tasinia ya taarifa ya habari nchini.

Pia imedhihirisha ni kwa namna gani DIAMOND pamoja na WASAFI ni mahodari na wabobezi kwenye nyanja ya habari sana.

TIGO wameisaliti CLOUDSTV na kukimbilia WASAFITV,hii inamaanisha kuwa WASAFITV ndo inakuja kuleta mapinduzi mapya,yenye misingi ,tija na manufaa kwa wanamziki/wasanii kwa ujumla nchini Tanzania.

Hiki kitendo Cha TIGO kinaonyesha kuwa CLOUDSTV imeisha kufa na imebakiwa kuzikwa,na kwa Sasa habari ya mjini ni WASAFITV.

S/O kwa Diamond platinumz the G.O.A.T pamoja na chuma Cha WCB na WASAFITV kwa ujumla.

THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.
View attachment 1633721
si kweli TIGO wameisaliti Clouds, Tigo bado anafanya biashara na Clouds ndio maana mpaka sasa unasikia matangazo ya Tigo yakichezwa,

Tigo aliingia mkataba na Clouds kwenye tamasha la Fiesta, mkataba ule ulikuwa na ukomo lijue hilo kwanza, japo ukomo sintouweka wazi sababu huwa kuna terms na watu wanakaa mezani wanarenew, Mwaka huu FIESTA haijafanyika kutokana na ratiba za Uchaguzi tutarajie mwakani FIESTA itafanyika,

Wasafi tumewasha tour ni tour ambayo kama Media inaenda kujitangaza masafa yake (frequency) kwenye maeneo waliyofika hivo basi kama Wasafi lazima walitafuta wazamini na yawezekana Tigo walivofuatwa wakakubali sababu kama kampuni lazima iwe na malengo ya kuwafikia wateja wake kwa ukaribu pia ku push product zake au kamapeni kama JAZA UJAZWE TENA, Baada ya tour Tigo ataendelea na shughuri zake na wasafi media watabaki na kazi zao,

Kwa ufupi Tarajia kuwaona TIGO tena mwakani kwenye FIESTA sabau wao ndio wazamini wakubwa ni hayoooo tuuuuu
 

Jane Lowassa

JF-Expert Member
May 10, 2016
3,616
2,000
Wanahisa wa WASAFI TV
Kusaga = 50%
Diamond = 49%
Someone (nimsahau jina) = 1%

Ukirudi darasani....
Corporate governance inasema "majority sharejolder is the owner and last say"

Then mmiliki wa WASAFI TV ndio mmiliki wa CLOUDS TV.

#YNWA
Siyo kweli. Kusaga hana umiliki. Halafu nani kakwambia Diamond ni final say pale?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom