Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
3,119
2,000
Great ideas without executions is WORTHLESS.

Kabisaaaa mkuu

Watu tunapenda kukosoa sana lakini in real sense utafanya mahojiano ya aina gani yaonekane mapya. Zote ni conversations tu cha msingu ni delivery

Kwanza media za bongo hadi watangazaji wengi ni copy cats na si kitu kibaya
 

Bambaleta

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
10,365
2,000
Ndio maana ni kasema tofauti location saloon utanyolewa,Bar utapewa vinywaji na kucheza game kama pool,lkn content ile ile una mwita msanii una muhoji na kupiga nae story.

Sawa na mimi ni andae kipindi Hotelini,wageni watakula na kunywa lkn content ni ile ile ya kuwahoji na kupiga nao story.

Yaani Sheikh ni yule yule tofauti kanzu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
6,764
2,000
Zamani ulikuwa unatumia njia gani kumsikia?
Kipindi yupo wasafi alikuwa anatrend Sana kwenye social media tofauti na sasa Kama binafsi naona jonijo na bdozen walikosea kuama kwenda efm wamerudi nyuma badala ya kwenda mbele.
 

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
2,000
Kipindi yupo wasafi alikuwa anatrend Sana kwenye social media tofauti na sasa Kama binafsi naona jonijo na bdozen walikosea kuama kwenda efm wamerudi nyuma badala ya kwenda mbele.
ni vema kuheshimu maamuzi ya mtu, lakini kuna wakati ukitanguliza maslahi mbele utajikuta unaua career yako, J e Lil Ommy aliekuwa ana trend Times fm ndio Lil Ommy huyu ambae yuko Wasafi kwa sasa..?, je pick yake bado iko pale au imeshuka..?
TUWAPE MUDA
 

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
6,764
2,000
ni vema kuheshimu maamuzi ya mtu, lakini kuna wakati ukitanguliza maslahi mbele utajikuta unaua career yako, J e Lil Ommy aliekuwa ana trend Times fm ndio Lil Ommy huyu ambae yuko Wasafi kwa sasa..?, je pick yake bado iko pale au imeshuka..?
TUWAPE MUDA
Lily ommy anafanya vizuri tofauti na jonijo na bdozen we siumeona kaisimamisha vizuri big Sunday live angalia pia kampeni aliyoleta ya shinda na alteza ilivyofanya vizuri pale Wasafi.Narudia Tena bdozen na jonijo wamepotea njia thamani zao zimeshuka walikurupuka kuama.
 

rip faza_nelly

JF-Expert Member
Feb 19, 2018
3,687
2,000
Aje na idea ya kuwafuata wasanii majumbani kwao.

Anafika anawahoji wasanii husika wakiwa makwao huku anawasaidia kazi ndogo ndogo(kama kufagia ndani, Kusafisha Garden, kuosha vyombo n.k)

Hebu assume Jonijo anamuhoji Platnumz huku anasafisha fridge za Plutnumz pale Madale
Hata hii ya kuwafata nyumban ilishafanyika kweny magazeti
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom