Recent content by Mayi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu ni muhimu apa tafadhari

    Hahahaaaa, mara hii nimeshakuwa mwalimu Lol! .. karibu Mwakitolyo tulime.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu ni muhimu apa tafadhari

    Hapa nadhani unataka kupata namna utakavyo punguza uwezekano wa kupata maambukizo right? Nitakupa mambo kadhaa kutokana na tafiti zilizopita: 1. Hakikisha umetahiriwa - tohara inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya VVU by 60% kwa mwanamume 2. Mshawishi mpime maambukizi ya magonjwa mawili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Access to any systematic review program (Tool)

    Hello! I am conducting a systematic review of some health interventions. My search strategy gives me thousands of publications and would want to gather and de-duplicate. I know there are several programs for this process including Covidence and EPPI-Reviewer, however, getting a free version or...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jua umri unaoendana na matendo yako kwa kufanya zoezi hili ndani ya dakika 2

    Khaa, sasa mimi nimepunguziwa 3 yrs!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa taa ipi iwashwe

    Asanteni sana wachangia mada! tumeelimika wengi hapa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

    Huu ni mtazamo mkuu! na inawezekana ulipata gari ikiwa tayali inamatatizo. Mimi nina Passo kwasasa mbali na nyingine ninazotumia, na nimekuwa nikienda karibu mara mbili kila mwezi Mwanza - Dodoma bila kuhisi hiyo shida ya kuchemsha. Unaweza kuangalia yafuatayo: 1. Hakikisha rejeta yako...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ninachojua Tanzania kila mtu anapaswa kuwa na passport! bado haijulikani ni muongozo toka wapi walionao watumishi wa uhamiaji wanaotaka mpaka uwe na sababu ya kumiliki passport ya nchi yako. Tabia hii ndiyo inayofanya watu wengi kuhusisha idara hii na rushwa maana mambo hayawekwi wazi kila mtu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mzungu kanishangaza

    Usijali, mala nyingi unamjulisha mtu anayefaa ili asije chukua kazi nyingine kabla yako - ninyi job seekers mnatega mitego mingi sana. Be happy, usilalamike
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda looks to Tanzania for rail transport as Uganda falters on SGR

    This is a self-brought blessing! I would then commend for the Tanzanian government to strategically encourage the two partners to urgently start working on this dream.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Askari wa Usalama Barabarani aliyetukanwa na Mke wa Waziri apandishwe cheo

    Tukio alilofanya president haikuwa kuuza magazeti, ila ni ujumbe mzito kwenu mnaojifanya miungu watu mpatapo au ndugu zenu wanapopata nafasi serikalini.
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Hebu tulieni kwanza, watanzania tumechoka na siasa za mafisadi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Inapaswa kuachana na huyo Membe haraka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi
Back
Top Bottom