Msaada wa taa ipi iwashwe

kinehe

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
205
198
Napenda kuuliza kwa wajuzi ni taa ip uwashe km unakata barabara katkat i mean huend kushoto au kulia,
 
hazard... hii taa inamaana nyingi tofaut na watu wanavyodhan ukiwasha gar mbovu,, gar ya mbele ikiwasha hazard inamaana pia kuna watu wanavuka ..utulie,,,ama kuna shida mbele ama gar mbovu ama anayoosha/kuvuka barabara n.k
 
We washa tu maana tushazoea tu kama zile taa tunazitumia lama kupeana hi au kumpa taharka mwenzako mama mbele kuna kunguru weupe
 
Napenda kuuliza kwa wajuzi ni taa ip uwashe km unakata barabara katkat i mean huend kushoto au kulia,
Pita/katiza moja kwa moja bila kuwasha taa yoyote...Dereva wa nyuma yako ataelewa kuwa unanyoosha..ili mradi tu usipindepinde na kuyumbayumba...kaa kwenye njia yako huku ukiangalia usalama pande zote
 
hazard... hii taa inamaana nyingi tofaut na watu wanavyodhan ukiwasha gar mbovu,, gar ya mbele ikiwasha hazard inamaana pia kuna watu wanavuka ..utulie,,,ama kuna shida mbele ama gar mbovu ama anayoosha/kuvuka barabara n.k
Ukiwasha hazard weng hatuelew ila unawez ukawachanganya maderev wa pande zote mbili anayetokea chin anawez akhc untk kukat kuja kwake maan taa y pil anawez asiione kutokn n upande anaotok n n vlevle kw anaetokea upande mwngne wa juu.......cha kuzngtia n kwamba unapofik njia panda ucwashe taa yyote ile bali wek gar lako katikat ya barbr hakikish wa nyum yako anawez kupit kirhc bil tabu,anglia usalam kam upo,kam upo then ur gud 2 go.
 
hazard haiwashwi kwa kumaanisha unapita bila kukunja kona, hapo unaingia tu kama unavyoingia round about...!!

Ukiwasha hazard weng hatuelew ila unawez ukawachanganya maderev wa pande zote mbili anayetokea chin anawez akhc untk kukat kuja kwake maan taa y pil anawez asiione kutokn n upande anaotok n n vlevle kw anaetokea upande mwngne wa juu.......cha kuzngtia n kwamba unapofik njia panda ucwashe taa yyote ile bali wek gar lako katikat ya barbr hakikish wa nyum yako anawez kupit kirhc bil tabu,anglia usalam kam upo,kam upo then ur gud 2 go.
Sikuwa na uhakika wakuu, japo kweny swali pia kauliza kama unakata barabara kama jinsi watu wanavyovuka, simdhan kama kamaanisha njia panda
 
Back
Top Bottom