Ushauri wenu ni muhimu apa tafadhari

Ushauri wenu ni muhimu apa tafadhari

Kwanza kabisa jiamini hivyo ulivyo ni bora kuliko mtu yoyote kama unaweza tafuta mtu wa saikolojia umuelezee yale ambayo unaona ni changamoto kwako
Huyo mwanamke sikushauri uendelee nae
 
Navyosoma hapa sijui kwanini picha ya Mc pilipili inanijia kichwani . sijui kwanini yani
 
we ndio yule tajri mfupi wa bongomovie au
 
MSIMAMO WANGU

Mimi nimeshajikubali kwamba hakuna girl wa kuridhika na udogo wa uume wangu,kwahiyo swala la kusalitiwa sio ishu sana kwangu.Na hata nikimfumania live siwezi kumuacha,mapenzi yamesha nitesa sana.

Tatizo nauogopa ukimwi wakuu,nafikiria ni njia gani itanifanya niishi na huyu mwanamke bila kuniletea magonjwa.
I.[/QUOTE]

Sikuzote epiuka kuchanganya masuala ya ndoa na siasa. Ndoa ina maadili yake ambayo kwa mwanamme kamili hawezi akacompromise.

Huyo mwanamke hafai kabisa wewe kumuoa na ukithubutu kumuoa utajuta maisha yako yote tena baada ya muda mfupi tu wa ndoa yenu. umalaya utakuwa kama kwenda chooni vile, utanyanyaswa, kudhihakiwa na kukashifiwa na huo ukimwi unaouogopa utaletewa. Maamuzi ya condom siku zote ni ya mwanamme hivyo hata ukimshauri atumie kama hawara yake huko nje hataki atachapwa tu kavu kavu.

Halafu watu mnahangaika sana kutafuta wachumba mijini na mitandaoni kwa nini msipanue wigo na vijijini kwenu mlikozaliwa? Katafute mke kijijini utaonyeshwa familia iliyotulia utapewa binti ambaye bado hajawa much explored na aliyefundwa hivyo hata kama baadae atajanjaruka, utakuwa umeishazaa naye hata watoto watatu.

Hizo pesa zako ambazo ndizo unadai zinawashikilia wadada sio guarantee kuwa utadumu nazo.

Kuchangia mwanamke hakuna ubaya ila kuchangia mke ndio maana kwa wanaume kamili huwa hawana mjadala na hilo.
 
Pole sana, jiamini na maumbile yako, jiamini na kimo chako

Umeshaujua ukweli kua kusalitiwa ni muhim na ts like mwanamke anafosi ndoa, usiow ukiwa bado hujajiridhisha na hiyo ndoa hasa muolewaji itakucost sababu kosea vyote usikosee kuoa au kuolewa

Najaribu kuona mbali kua baada ya ndoa utaziona rangi halisi za huyo dada trust me ana kuenga enga umuoe tu akuoneshe makucha

Mpaka hapo maamuzi unayo jaribu kufikiri mara mbili uweze kuvumilia kusalitiwa na mkeo au uachane naye kweupe bado mapema
 
Huyo hafai kuoa mkuu.Kuna tofauti kubwa kati ya mpenzi kuchepuka na mke kuchepuka.

Binafsi sikushauri kumwoa...
 
Navyosoma hapa sijui kwanini picha ya Mc pilipili inanijia kichwani . sijui kwanini yani
Kuna mtu nimemhadithia akaniambia hivihivi kabla hata ya kuisoma hii comment yako.
 
Wakuu bila kupoteza muda naomba nijikite kwenye mada husika.

Mimi ni mfupi wa futi 5, na nimekua nikipenda dating na girls warefu.Mpaka sasa nimeshakua kwenye love relationship na wanawake warefu 7.

TATIZO LINALONISUMBUA

Niwe mkweli wakuu,mimi ni mfupi kote kote kwanzia kimo cha mwili mpaka uume.Wanawake wote ambao huwa na kuwa nao huwa hawaridhishwi na urefu wa uume wangu.
Hichi kitu huwa kinanifanya nipambane kuwa na girls warefu hili kujenga confidence,napenda wanawake warefu hili wanizalie watoto warefu pia.Sitaki watoto wangu waje wanyanyasike kama baba yao navyo pata tabu kwenye relation.
Niwe mkweli,silaha kubwa ninayotumia kuwapata hawa wanawake warefu ni pesa.Nina uhakika 100% wanawake wote hao walinipendea pesa sababu mimi ni mfupi sana na napenda wanawake warefu sana na weupe.

Nilikua natafuta future wife,lakini tatizo girls wengi walikua wanapenda secret love,walikua wanaona noma kinitambulisha kwa watu,yani hata kwenye hafla mbali mbali hawataki tuongozane sababu ya ufupi tukitembea hatuendani.

Kuna kipindi nilikua napumzika mapenzi nakomaa na kumake money,huku nikiamini pesa itakuja kunipa mke wa ndoto yangu.

MPENZI WA SASA

Mwaka jana nilimpata mpenzi mpya ambae alikua na sifa zote ninazozitaka mrefu sana na mweupe.Niwe mkweli huyu girl nilitumia nguvu kubwa ya pesa kumpata.Huyu amekua tofauti na wale wa mwanzo sababu anajiamini na mimi,hamuogopi mtu,sehemu yeyote naenda nae na amenitambulisha kwa watu wake wa karibu karibia wote.

Ni msomi,ana malengo na anajielewa sana.Mara ya kwanza nilikua sikubaliki kwao lakini nilitumia ushawishi mkubwa wa kifedha mpaka sasa ndugu zake wote wananipenda sana.Kitu kikubwa nilichomuwin ni kumfanya aamini bila Mimi hawezi kuishi happy life.Tumepanga kufunga ndoa mwezi ujao.

TATIZO

Toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi bila kinga,hii ilisababishwa na kumuuguza baba yangu mzazi ambae alikua na HIV.Nilipata tabu sana,baba alinifia mikononi mwangu kwa mateso makubwa sana na nilikua mdogo sana.Toka kipindi hicho niliapa sijikufa kwa ukimwi,yani nauogopa ukimwi kuliko kufilisika.

Hata huyu mpenzi wangu amelazimisha ndoa haraka sababu anasema amezichoka condom zangu.Nilimuahidi peku peku mpaka ndoa.

KIMBEMBE

Simu yake huwa anaweka password muda wote,na mimi sijawahi kuishika.wiki iliyopitia alilewa na kijisahau akafungua pin mbele yangu,tulivyolala niliamka na kuanza kuichungiza.

Kwa kweli niliyoyakuta yalinichanganya sana.Nimekuta txt na rafiki zake akiwambia kuwa ananipenda sana na kuniheshimu hila hawezi kulidhika na ukubwa wa uume wangu lazima atakua anacheat mara moja moja kutafuta uume mkubwa wa kumridhisha na akawataja ma x wake kama watatu hivi ambao atakua anajiburudisha.

MSIMAMO WANGU

Mimi nimeshajikubali kwamba hakuna girl wa kuridhika na udogo wa uume wangu,kwahiyo swala la kusalitiwa sio ishu sana kwangu.Na hata nikimfumania live siwezi kumuacha,mapenzi yamesha nitesa sana.

Tatizo nauogopa ukimwi wakuu,nafikiria ni njia gani itanifanya niishi na huyu mwanamke bila kuniletea magonjwa.

Je tuendelee kutumia condom mpaka ndani ya ndoa.

Au kuna vipimo vipo active sana ambavyo tunaweza kuwa tunijipima kila wiki.

Msaada wenu wakuu naogopa sana UKIMWI.

mkuu una nchi ngapi nikushauri kitu
 
Pole sana ni vizuri ukavuta subira kwenye issue ya Ndoa maana kama Mwanamke ameamua kukupenda kwa dhati kutoka moyoni hawezi kuchepuka kwasababu ya mapungufu yako, endelea kumuomba Mungu atakupatia wa kuendana na wewe na wala usikate tamaa.
 
Mkuu wa Kitengo baba Zembeni
1. Wewe upo vizuri sana tu sema unajidogosha mwenyewe. Achana na dhani hizo fasta mkuu
2. Huyo mamii achana nae fasta inaonekane anafata mkwanja tu hakuna namna, leo amepiga maji amesahau kufunga simu yake kesho jee? Na hapo Mungu alitaka kukuonesha mambo jinsi yalivyo halafu uchukue uamuzi kichwani mwako
3. Katika dunia ya leo hakuna kisichowezekana tafuta matibabu ambayo yanaweza kusaidia kukuza uume (ingawa binafsi sipendelei hii)
 
Hapo tu nawaza kutumia pesa ili familia ikukubali!!! mzee kuna kuishiwa ndo utakapojua kwanini tunasema konki,konki,konki master mara tatu? hapo umechemka na inaonekana hata demu anatoka familia hizi hizi mhmhmh.
 
Tafuta mtt bikr ambae ajui kibamia, achana na hao mabwawa
Huyo bikra pia labda ukajenge antactica halafu muishi wawili tu hapo hautagongewa ila kama upo naye hapa hapa Tz na ana marafiki jua kugongewa kuko pale pale
 
Back
Top Bottom