Recent content by maya empire

  1. M

    Bomoabomoa ya kufa mtu Dodoma inaendelea

    Reli wanataka kufanya nn na hilo eneo lao?
  2. M

    Bomoabomoa ya kufa mtu Dodoma inaendelea

    Tulioko Dodoma kuanzia jana tunashuhudia BOMOA BOMOA ya majengo eneo linalomilikiwa na reli Bar ya Capetown Kituo cha mabasi Sheli ya total Stendi ya mkoa Nk
  3. M

    Tuandamane Aisee! Ubungo Tanesco Isivunjwe...

    Jengo siyo LA umma,tanesco ni mpangaji Cha msingi ni kusema bora uandamane tanesco wapate jengo lao ili wasiendelee kutumia fedha ya umma Kwa ajili ya kulipa pango kwenye jengo ambalo siyo LA umma
  4. M

    Nani mmiliki wa jengo la TANESCO Ubungo?

    Wanajukwaa wenzangu,zipo taarifa za kuaminika kuwa Jengo LA Tanesco linalotakiwa kubomolewa siyo la umma na ndiyo maana Mkuu Wa nchi amelivalia njuga ili libomolewe Hili jengo hawa Tanesco ni wapangaji Hili jengo linamilikiwa Kwa hisa kati ya shirika moja la hifadhi ya jamii na mbunge Wa...
  5. M

    Kwanini Wazungu walivamia Bara la Amerika kabla ya Afrika?

    Ni kweli kuwa ulaya na Asia vimeungana Kwa nchi kavu,lakin ukumbuke katikati ya mabara haya kuna safu za milima Himalaya ambazo zimakava kama nchi tano kama siyo sita au saba ambazo baadhi zipo ulaya na nyingine zipo Asia,Kwa hiyo hizo safar za kutoka ulaya na kwenda Asia moja Kwa moja...
  6. M

    Kwanini Wazungu walivamia Bara la Amerika kabla ya Afrika?

    Ni kweli kuwa ulaya na Asia vimeungana Kwa nchi kavu,lakin ukumbuke katikati ya mabara haya kuna safu za milima Himalaya ambazo zimakava kama nchi tano kama siyo sita au saba ambazo baadhi zipo ulaya na nyingine zipo Asia,Kwa hiyo hizo safar za kutoka ulaya na kwenda Asia moja Kwa moja...
  7. M

    Catalan independence today; A lesson to Zanzibaris

    Demokrasia Kwa nchi za afrika bado sana Ona kitakacho tokea Kenya,hii nchi siku si nyingi haita kalika ujue Kwa nn Kwa sababu utamadun wetu bado hauruhusu demokrasia Kwa % 100, sasa kitendo cha jaji kufuta matokeo ya uchaguz hasara yake ndo hivyo nchi haitawaliki,je angeufumba ukweli na...
  8. M

    Zitto: Tume ya Bunge haijawahi kukaa kujadili uteuzi wa Katibu wa Bunge. Rais Magufuli amevunja Sheria!

    Wadau wengi Wa masuala ya siasa wanadai Mh Rais amekiuka taratibu kwenye kumyeua katibu Wa bunge SWALI LA KIUELEWA JE SHERIA INASEMAJE IKIWA RAIS ATAKIUKA VIFUNGU VYA KATIBA?
  9. M

    Maajabu: Rais anateua Katibu wa Bunge kabla hata hajapewa majina 3 yaliyopendekezwa na Bunge kwa Mujibu wa Sheria?

    Mleta Uzi,sioni cha ajabu sana ambacho unataka kutushirikisha nasi tushangae pamoja nawe, Kukushauri tu ni kwamba,kabla hujafikiri kupost au kuuliza jambo,lifanyie utafiti na ukijiridhisha kuwa kunao walakin,toa Uzi ili tukusaidie
  10. M

    CCM wakimfukuza Nape, CHADEMA wamkaribishe awe Katibu Mwenezi

    CDM IKIMCHUKUA NAPE KITAKUWA NI CHAMA CHA MAAJABU KABISA KATIKA ULIMWENGU WA SIASA,YAANI CDM KINAKUWA NI CHAMA CHA KUWACHUKUA WALE WALIO WAONA HAPO AWALI NI MAADUI WA HAKI NA MAENDELEO YA WANANCHI HAPO AWALI YULE WALIYEMTUKANA KWA KILA TUSI NDUGU LOWASA,ALIPOTEMWA KWENYE URAIS WAO WAKANUONA...
  11. M

    Msaada washeria ya ARIDHI

    Wanakuja wasomi wenzangu
  12. M

    Risasi za Lissu na majasusi wa Urusi nchini Montenegro

    Bila kujali itikadi za vyama,bila kuathiri maslahi ya MTU mmoja mmoja HUU UZI YAFAA UWEKWE KWENYE HANSADI NA INGEWEZEKANE UZI HUU NDIYO UNGEKUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS HUU UZI NI KAMA NASIKILIZA HOTUBA ZA BABA WA TAIFA MWL NYERERE
  13. M

    Matukio kama haya hupangwa?

    1:Sokoine pale dakawa Morogoro,dereva wake alipona 2:Chacha Wangwe pale Dodoma dereva wake alipona 3:Mchungaji Mtikila katika ajari,dereva wake alipona 4:Tundu Lissu apigwa lisasi za kutosha,dereva wake hana hata kovu Hivi hawa madereva Wa mabosi wetu,huwa wanamalaika Wa aina gani tofauti na...
Back
Top Bottom