Catalan independence today; A lesson to Zanzibaris

Catalan independence today; A lesson to Zanzibaris

Ingewezekana,inawezekana. Kumbuka tu hao watu walilipa bei kubwa,kubwa mno!with endless shedding of blood,haikuja tu juu ya meza au kwa vita ya half night kama mapinduzi...

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
wazanzibari wanauhitaji muungano na wanaupenda, laiti wangekua hawautaki basi wangesha jitoa kitambo. They cant't survive without Tanganyika
Mkuu Zanzibar ilikuwepo na itazidi kuwepo,bila Tanganyika,Zanzibar itakuwepo.
Tena wakijitenga wataneemeka mara dufu,kwanza Zanzibar ni nchi ndogo yenye watu kidogo ni rahisi kujitosheleza mahitaji.
Zanzibar sio wapenda hongo,ulafi wa kuiba mali za umma kama bara.
Wazanzibar wana mahusihano mazuri na nchi za kiarabu.
Wazanzibar wamepakaa dunia nzima hivyo wanaijua dunia vilivyo
Wako juu sana kitalii.
 
Demokrasia Kwa nchi za afrika bado sana

Ona kitakacho tokea Kenya,hii nchi siku si nyingi haita kalika ujue Kwa nn Kwa sababu utamadun wetu bado hauruhusu demokrasia Kwa % 100, sasa kitendo cha jaji kufuta matokeo ya uchaguz hasara yake ndo hivyo nchi haitawaliki,je angeufumba ukweli na kumwachia Uhuru aendelee kutawala unadhani odinga angekata maamuz ya mahakama?
Odinga angekubali kishingo upande lakin Kenyatta angeongoza nchi na Aman ikawepo,lakin kitendo cha jaji kuachia ukweli Kwa kujuwa kwamba Kenya imekuwa na demokrasia ya kutosha hata kama uchaguz ungerudiwa mambo yangekuwa mazuri,SASA MAAMUZI YA JAJI YA KIDEMOKRASIA YAWA ADHABU KWA WAKENYA
 
Zanzibar isijaribu kujitenga watasababisha kisiwa chote kiwe makumbusho
 
Nchi ya Catalan (Barcelona), ambayo ni sehemu ya nchi ya Spain ilisimama kidete na kuwa ngangari kupiga kura ya maoni ya kutaka kujitenga na Spain.

Japokuwa serikali ya Spain ilikataa kutambua kura hiyo ya maoni na ilitumia nguvu kwa kutumia askari polisi kuwazuia wananchi wasiende kupiga kura, hata hivyo nguvu ya wananchi ilikuwa kubwa na hatimaye kupiga kura na matokeo ni kuwa wengi walichagua kujitenga.

Muda huu naandika Bunge la catalan limepiga kura na kukubali kwa dhati kutangaza kuwa ni nchi huru.

Somo kwa wanasiasa wa TZ, hakuna nguvu ya dola imetumika, hakuna jeshi wala polisi kuingilia kati, ni nguvu ya demokrasia tu.

==========
http://www.bbc.co.uk/news/world-europe-41780116
Catalans declare independence from Spain
_98508202_mediaitem98508199.jpg

The Catalan regional parliament has voted to declare independence from Spain, just as the Spanish government appears set to impose direct rule.

The move was backed 70-10 in a ballot boycotted by opposition MPs.

Spanish Prime Minister Mariano Rajoy earlier told senators direct rule was needed to return "law, democracy and stability" to Catalonia.

The crisis began when Catalans backed independence in a disputed vote earlier this month.

The Catalan government said that of the 43% of potential voters who took part in the referendum, 90% were in favour of independence. But Spain's Constitutional Court had ruled the vote illegal.

In all, the motion declaring independence was approved with 70 in favour, 10 against and two abstentions in the 135-seat chamber.

Immediately afterwards, Mr Rajoy called for all Spaniards to remain calm, promising to "restore legality" to Catalonia.

Spain's Senate is still to vote on whether for the first time to enact Article 155 of the Spanish constitution, which empowers the government to take "all measures necessary to compel" a region in case of a crisis.

It would enable Madrid to fire Catalan leaders, and take control of the region's finances, police and public media.

Source: BBC
Nani kakudanganya.......we waache tu wajidanganye na hako kabunge chao........hivi umeyaelewa hayo maandishi ya kiingereza ama we unaona Picha tu........acha kuwadanganya wazanzibar .....kama unalako sema
 
Ni rahisi wakiamua na kujizatiti, kutumia nguvu ya demokrasia.
Hamnaga kitu kama hicho.......hivi wewe hujui definition ya demokrasi it depends na anayei define....... Eti nguvu ya demokrasia thubutu yake
 
Mkuu Zanzibar ilikuwepo na itazidi kuwepo,bila Tanganyika,Zanzibar itakuwepo.
Tena wakijitenga wataneemeka mara dufu,kwanza Zanzibar ni nchi ndogo yenye watu kidogo ni rahisi kujitosheleza mahitaji.
Zanzibar sio wapenda hongo,ulafi wa kuiba mali za umma kama bara.
Wazanzibar wana mahusihano mazuri na nchi za kiarabu.
Wazanzibar wamepakaa dunia nzima hivyo wanaijua dunia vilivyo
Wako juu sana kitalii.
hata kupigania uhuru wao hawakuweza, yanayoitwa "mapinduzi ya zanzibar" wala hayakufanya na wao
 
Somo kwa wanasiasa wa TZ, hakuna nguvu ya dola imetumika, hakuna jeshi wala polisi kuingilia kati, ni nguvu ya demokrasia tu.
Soma historia ya catalunya kwanza ndio useme ni somo kwa zanzibar
 
Somo kwa wanasiasa wa TZ, hakuna nguvu ya dola imetumika, hakuna jeshi wala polisi kuingilia kati, ni nguvu ya demokrasia tu.
Soma historia ya catalunya kwanza ndio useme ni somo kwa zanzibar
 
Back
Top Bottom