Recent content by mawazo haba

  1. mawazo haba

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku

    Unatoa mkoa gani mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mawazo haba

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Usafirishaji wa Mizigo kwa Malori Makubwa: Jifunze Uzoefu, Miongozo, Faida na Changamoto Zake

    Mkuu naomba uzoefu wako kwny biashara ya bajaji. Bei yake mpk usajili inafika sh ngapi? Kuweka mkataba na kuweka deiwaka ipi bora zaidi? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mawazo haba

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    1. Leseni ya umiliki inayotolewaga na TFDA 2. Muuzaji aloyesomea course ya uuzaji na utunzaji wa Dawa muhimu 3. Leseni ya kawaida ya biashara
  4. mawazo haba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: kama bado unampenda mtu, usitangaze kumuacha!

    Aisee,hizo texts za namna hiyo nimeziona zamani sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mawazo haba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mwanaume anatafuta mtu wa kuoa akakosa?

  6. mawazo haba

    JamiiForums Tanzania Tunaokerwa na wake zetu kwenye matumizi ya vipodozi tukutane hapa

    Ndio mkuu Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  7. mawazo haba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnakula nini? Jambo hili limekuwa kero sana na kuharibu hisia za mapenzi

    Team misifasifa
  8. mawazo haba

    JamiiForums Tanzania Hospital nzuri ya mkojo na uzazi Dar ni ipi? (Urology)

    Dr Rugajo ni mtaalam wa mgonjwa ya figo,fika Kinondoni hospital kwa Dr Mvungi pale muulize Dr Kim ni urologist mzuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mawazo haba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ole wao wanaotazama sex (chonda)

    Ukumbusho huwafaa wenye kuamini.. Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mawazo haba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nikitaka kutongoza najiona nipo tabaka la chini, nasitisha

    Uoga wako ndo kufeli kwako Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mawazo haba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyovuka vikwazo vya kidini kutetea penzi

    Hongera kwa kuvuka vikwazo na kuacha dini yako.. Anyways.. dini yenyewe ulijikuta tuu upo humo kama unavyosema,bila shaka hujui hata thamani yake Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mawazo haba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nigeria yaongoza Afrika orodha ya nchi 10 duniani ambazo wanaume huridhisha wake zao kitandani

    Naona mkuu unapambana na hali yako[emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mawazo haba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni zipi faida na hasara za kutafutiwa mke na wazazi?

    Mkuu bora utaftiwe mke na baba,atakutaftia mke mzuri wa sura na tabia pia kama mama yako lkn akina mama hawa utaletewa mke ana tabia nzuri huyooo lkn mmmmmhhhh Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mawazo haba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

    Naona JamiiForums ishageuka Instagram Post sent using JamiiForums mobile app
  15. mawazo haba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi hapa njia 7 za kushangaza zinazosababisha Mimba

    Jamaa anasema sperm itakishi siku 5 iseeh hii ni kitu mpya Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom