moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,253
Wapendwa wanajamvi umofia kwenu!!!!!
Mimi ni mgonjwa naishi nje ya Dar! Napenda kujua ni hospital gani iliyopo Dar ambapo naweza pata huduma nzuri kitengo cha njia ya mkojo na uzazi (Urology)!
Ninatumia bima ya NHIF Brown Card hivyo kuhusu gharama sina shaka!
Mwanzo niliwaza Muhimbili lakini naogopa foleni na pia likizo yangu inaelekea kuisha nirudi kazini.
Naombeni msaada wakuu!