Recent content by maun

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gari Aina ya Noah Inafaa kwa Safari Ndefu?

    Noah ya zamani ipo poa kwa engine sio Balance zero Noah mpya aiwezi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pasipoti zinatolewa kwa watu hewa?

    We We. Nenda kajaribu kajaribu tu uone hayo Mambo yalikuwa zamani sio sasa hivi scanner zipo kila sehemu hata south africav zime link na za tanzania
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania iige mfano wa Botswana

    Botswana kuna almasi Sio dhahabu
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama wa mchumba tarajiwa nimeambiwa ni mchawi

    we jaribu uone kazi yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Iphone 5 imebuma

    tumia charger original ya iphone au chukua cable original charge kwa kutumia kingamuzi cha azam tv,hizo charge zako fake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu kila wakati inaonyesha full storage

    hiyo simu inahitaji ku format na je memory kadi yako inaukubwa gani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    Nunia kingamuzi cha azam mimi niko botswana nahangalia itv
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimerogwa

    Pole sana ila naomba uchunguze kwanza labda huyo mke mpya ndiye tatizo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Gari yangu kukata kiuno

    Shock up za mchina zinasabisha hivyo Kama uliwahi kubadilisha karibuni hilo ndilo tatizo au bearing za kwenye hubs zimekufa zicheki zote 4
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wapendwa wana jf mimi natafuta kazi ya secretay elimu yangu diploma

    tuma cv kwenye hii e-mail husseinrymsy@gmail.com
  11. M

    JamiiForums Tanzania Carina bei cheap!!

    angalia kama ni 5A,au 7A engine nunua kama ni 3S kime mafuta
  12. M

    JamiiForums Tanzania TBC1 haipatikani tena ukitumia Ungo?

    mimi nipo Botswana naipata vizuri kila siku
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa gari Nissan Wingroad

    spares ni kimeo
Back
Top Bottom