....
....
Kaka hio haiwezekani kabisa kwa sasa.....wala usiende mbali.wewe nenda tuu pale TRA kama una TIN kisha omba TIN mpya kwa jina lingine finger print zinakuumbua pale pale....the same thing immigration kwa sasa haiwezekani..ukiomba kwa jina hili kwenye finger print watakwambia mbona wewe unaitwa fulani na ulishakua na passport ........
Sasa unabisha nini we seal.mi nawajuwa majanki kibao wakibongo wakiharibiwa passport zao na wazee wa nondo wa kaburu wanakimbia bongo fasta wanarudi na passport yenye jina jengine sema picha yake.nawajua zaidi ya10.for sure.Kaka hio haiwezekani kabisa kwa sasa.....wala usiende mbali.wewe nenda tuu pale TRA kama una TIN kisha omba TIN mpya kwa jina lingine finger print zinakuumbua pale pale....the same thing immigration kwa sasa haiwezekani..ukiomba kwa jina hili kwenye finger print watakwambia mbona wewe unaitwa fulani na ulishakua na passport ........
Mbona mtoa mada kasema finger prints zinakuwa za kweli ila jina ndio tofautiZamani hicho ulichosema kilikuwa kinawezekana ila kwa sasa ni ngumu pale airport wanaangalia fingerprint kwa kifaa flani wakikuta hazioani na paspoti yako halisi wanakudaka.. ilishamtokea jamaa yangu flani
We. Nenda kajaribu kajaribu tu uone hayo Mambo yalikuwa zamani sio sasa hivi scanner zipo kila sehemu hata south africav zime link na za tanzaniaSizungumzii pasipoti halisi!
Baada ya pasipoti halisi kupoteza sifa kwasababu fulani fulani...
Mtu anaomba pasipoti mpya kwa jina feki (kwa kutumia affidavit) kwasababu hawezikutumia jina lake halisi alilopewa wakati amezaliwa.
Kwenye hiyo pasipoti mpya, alama za vidole ni zake na picha ni yake. Kisicho chake ni jina tu.
Na akienda airport anapita bila wasiwasi!
Ndiyo maana nikauliza kama huwa hawakagui alama mpya za vidole kwenye database yao?
Kwa maana ya kwamba, wakikagua wataziona finger prints zile zile zikiwa kwenye pasipoti ya jina jingine.
Kama mtu amebadilisha jina kisheria ni sawa. Lakini kuna "ubuyu" kwamba watu wanabadilisha sana pasipoti kwa mtindo huu!