Shock up za mchina zinasabisha hivyo Kama uliwahi kubadilisha karibuni hilo ndilo tatizo au bearing za kwenye hubs zimekufa zicheki zote 4Bandugu gari yangu inayumba yumba au kukata kiuno.nimeipeleka kwa fundi amecheki rake hand, bush, rubber halijapona. Siku ya pili nimeipeleka kwa fundi mwingine akasema tairi itakuwa na uvimbe ndani.leo nimenunua tairi nyingine tatizo bado.naombeni msaada
Bandugu gari yangu inayumba yumba au kukata kiuno.nimeipeleka kwa fundi amecheki rake hand, bush, rubber halijapona. Siku ya pili nimeipeleka kwa fundi mwingine akasema tairi itakuwa na uvimbe ndani.leo nimenunua tairi nyingine tatizo bado.naombeni msaada