habari za leo wana jf wenzangu kuna kitu kinanitatiza kidogo ebu naombeni kuniweka sawa kuhusiana na ili hivi kujua kama msichana anakupenda kweli unaweza kuangalia vigezo gani, na je? msichana kumuonea sana aibu boyfriend wake ni dalili ya kuwa anampenda sana au maana mwenzeni girl wangu uwa...
mimi nadhani ni hali ya kawaida tu mara nyingi uwa inatokea katika ndoa nyingi na pia kumbuka si kila siku ni jumamosi au jumapili ,jalibu kuangalia yapi ambayo ulikuwa unamfanyia awali uenda sasa humfanyie inaweza kuwa sababu ya kupunguza upendo na wakati mwingine uenda ameshapata wa...
Jamani wanajamii forum kwanza habari za asubuhi bila shaka mu wazima na kama kuna ambaye anaumwa basi ni mapenzi ya mwenyezi mungu .
Jamani nina demu ambaye tulisoma naye shule moja ya msingi kuanzia drs la 1-7 baada ya hapo mimi niliendelea na elimu ya sekondari lakini kwa bahati mbaya yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.