sharobaro

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,004
659
sharobaro alikuwa chumbani na changu,changu akavua nguo zote na kuzitundika kabatini,sharobaro akastuka kuona changu yule ameweka bastola kitandani..akauliza..hii nayo ya nn??changu akajibu wanaume wengine washenzi sana wanakuvuruga usiku kucha halafu asubuh wanakupa 150,000/= tu,zitakusaidia nn!! sharo akaanguka chini kwa mshtuko na kupoteza fahamu.changu alipompekua akakuta mfukoni alikuwa na sh.5000/= tu
 
Kosa alilofanya ni kule kupata mshtuko. Pale alipojibiwa na changu, alipaswa kumwambia, ngoja nikanunue sigara kaunta meeen! Afu anapitiliza hadi nje na kale elf5 kake anachukua bodaboda na kumwamuru waondoke kwa spidi ya jambazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom