Nampenda sana lakini nahc ananipotezea muda

youve been hit by...!!youve been hit by-a smooth criminal!!
(sing it michael)
 
mleta mada, sasa PESA inahusika vipi na LOVE? Au ilikuwa biashara? Nadhani una tatizo la MSINGI. Kifupi USHALIWA. Next time acha kuhusisha mapenzi na fedha/mali. Kwa NDANI havihusiani kabisa, hasa unapotafuta mtu wako.
 
Huna hata sababu ya kuuliza hapa wakti majibu tayari unayo.Huyo ni Tapeli/fisadi wa mapenzi..Ndio umeshalizwa hivo.Ganga yajayo

Mara kumi hata angekuwa verified user kama Lilian Masilago, sasa wewe mtu humjui tayaru umeshamzimia, hii inaonyesha umeathirika kisaikolojia na haujikubali pia umejinyanyapaa mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
mleta mada, sasa PESA inahusika vipi na LOVE? Au ilikuwa biashara? Nadhani una tatizo la MSINGI. Kifupi USHALIWA. Next time acha kuhusisha mapenzi na fedha/mali. Kwa NDANI havihusiani kabisa, hasa unapotafuta mtu wako.

Cosmas Chidumule aliimba "USITUMIE PESA KAMA FIMBO DADA MPAKA PALE PATAKAPOKUWA NA MAKUBALIANO HAPO PESA NDIO HUWA INA THAMANI", hiyo ni rushwa ili uonekane pedeshee wa kike jamaa aje haraka haraka. Amefanya vizuri kula ela na kuingia mitini, nakumbuka kipindi cha kampeni tuliambiwa mkipewa fedha chukueni ikifika kipindi cha kupiga kura mchague unaemtaka
 
he he he, kulea mwanamme wito lol

Unajua wanaume wao wameshazoea kutoa advance na wadada wanaingia mitini sometimes, sasa bidada aliamini kuwa wanaume ni viumbe dhaifu ukimlegezea tu sauti na kumpa advance aka vijicent anaingia kwenye line kumbe inategemea na aina ya mwanamke.
 
Nimependana na mwanaume kupitia mtandao mmoja hv na muda mfupi baada ya kupendana aliniomba nimsaidie pesa nikamwahidi kumpatia lakini nikawa nimepata tatizo kidogo hivyo ckufanikiwa kumpa kiasi chote alichoomba nikawa nimemtumia na alikuwa akionesha mapenzi ya hali ya juu ingawa hatujawahi kuonana tulipanga tuonane mwezi wa nane lakini ghafla amebadilika mawasiliano hakuna tena nikimpigia cm yake iko busy 24hours cjui ndivyo ameseti hivyo cha kunishangaza nikitumia namba nyingine cm inaita kama kawaida ila hapokei sasa juzi nilitumia namba nyingine alipokea na ananiambia kuwa anataka kuja kwangu kunitembelea sasa ndugu zangu naombeni ushauri kwa hili jambo

pole sana kwanini unamwamin mtu ambaye hujawahi kumuona hawa wanaume bwana wa mitandaoni ni noma sana mm ctaki hata kuckia habari zao
 
Unampenda au ni pesa uliyompa inakuuma. Mwezi wa nane muonane kwani mpo niji tofauti?

Kubali huyo ni tapeli na hana muda wala fikira za kuwa nawe kimapenzi. Inaonekana una hamu ya kupata bwana.
 
Ukute na Eiyer kasajili la kike na yeye ndo anatoa mkwanja
Itakuwa burudani.

Ngoja nami niingie na ID ya kiume, nisajili Simu jina kiume; nianze kuzikusanya kutoka kwa desperate rich gals humu, with the avatar Kama ya BAK nitaweza jenga. LOL
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nami niingie na ID ya kiume, nisajili Simu jina kiume; nianze kuzikusanya kutoka kwa desperate rich gals humu, with the avatar Kama ya BAK nitaweza jenga. LOL

Hahahaha lol! Kaunga kila la heri lakini ukumbuke kucheza na jinsia ya kiume tu katika michango yako vinginevyo ukianza kuzichanganya jinsia zote mbili vimwana vitakustukia na kuanza kuuliza maswali mengi likiwemo, "Kama kweli wee ni njemba hebu nionyeshe nanihii yako." lol!

Have a great weekend.

Last edited by a moderator:
Nimependana na mwanaume kupitia mtandao mmoja hv na muda mfupi baada ya kupendana aliniomba nimsaidie pesa nikamwahidi kumpatia lakini nikawa nimepata tatizo kidogo hivyo ckufanikiwa kumpa kiasi chote alichoomba nikawa nimemtumia na alikuwa akionesha mapenzi ya hali ya juu ingawa hatujawahi kuonana tulipanga tuonane mwezi wa nane lakini ghafla amebadilika mawasiliano hakuna tena nikimpigia cm yake iko busy 24hours cjui ndivyo ameseti hivyo cha kunishangaza nikitumia namba nyingine cm inaita kama kawaida ila hapokei sasa juzi nilitumia namba nyingine alipokea na ananiambia kuwa anataka kuja kwangu kunitembelea sasa ndugu zangu naombeni ushauri kwa hili jambo

Pole mdada hii ndio moja ya negative effect ya teknolojia ambayo ni lazima tukubaliane nayo. Kwa mtazamo wangu mimi ni kwamba mapenzi huweza kuanza popote pale so baada ya tukio hili usije ukasema you can not get a real love mtandaoni. Ila watu hao unaoweza kukutana nao ndio tatizo kubwa lilipo, mi naamini if a person is a cheater or a con atakuwa hivyo popote pale utakapokutana naye. Sasa huu ndio ushauri wangu,

Hiyo huyo bwana aliyosema anataka kuja kukutembelea ni longolongo tu hakuna kitu hapo, kama ni kweli angekuwa anataka kukutembelea angekuja siku nyingi tu before au angekupigia simu yeye na sio wewe kumtafuta. Yes kuna namna ya kufanya simu ili mtu fulani asikupate (blacklisting) so i believe uliwekwa humo na ndio maana hukuwa hunampata kwenye simu.

Nakushauri dada yangu tafuta mtu mwingine tu ambaye mtaendana na atakayekupenda for who you are and not that guy who seem to love your money or what you have period!
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Nimependana na mwanaume kupitia mtandao mmoja hv na muda mfupi baada ya kupendana aliniomba nimsaidie pesa nikamwahidi kumpatia lakini nikawa nimepata tatizo kidogo hivyo ckufanikiwa kumpa kiasi chote alichoomba nikawa nimemtumia na alikuwa akionesha mapenzi ya hali ya juu ingawa hatujawahi kuonana tulipanga tuonane mwezi wa nane lakini ghafla amebadilika mawasiliano hakuna tena nikimpigia cm yake iko busy 24hours cjui ndivyo ameseti hivyo cha kunishangaza nikitumia namba nyingine cm inaita kama kawaida ila hapokei sasa juzi nilitumia namba nyingine alipokea na ananiambia kuwa anataka kuja kwangu kunitembelea sasa ndugu zangu naombeni ushauri kwa hili jambo

Niliwahi kusikia zamani kua mapenzi upofu..........ila huko tunakoelekea nadhani baada ya kua kipofu na akili zinaondoka kabisa........help me God!!
 
huyo ni tapeli kama walivyo wengine, muogope kama ukoma asije akakuliza zaidi. hamjuani sura amekubom michuzi. date ya kwanza anataka iwe kwako, kwanini msikutane sehemu nyingine agharamie drinks. hafai huyo. kwani wewe thamani yako ni ya kuhonga mwanamme, hebu acha hizo.
 
siku hizi mapenzi ni kama kumsukuma mlevi yaani, na strange enough mpaka ghosts wanapendwa.... kwa utaratibu huu wa mapenzi ya mitandaoni, mtu anaweza kuwachanganya watu kibao na kutengeneza resource base kubwa akawa anajikamulia maziwa kiulaini tu bila hussle wala nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom