Fuatilia ulupoaambia waitume...kama ni Posta nenda kawaulizie...wafanyakazi wengi wa Posta hawapo royal huenda mzigo upo wamepiga kimya au kwa vile umeweka namba wanashindwa kukupigia...au wasiliana na huyo muuzaji hua wanaweka email atakujibu kwa kuulizia kwa hiyo order No.
Si umwambie live nawe ndio nini nawr kutuambia sisi wakati unae huko kwenu...umeshampa halafu unakuja kutuimbia ngonjera nae pia sio...ungemkatalia na kumuambia hivi basi mambo yangeenda safi sio ushampa halafu unakuja kutuambia sie tufanyaje sasa?!!
Najiuliza alikua anatolea wapi hizo taarifa maana kama alikua anawaambia waandishi wa habari hamna hata mmoja aliyemuuliza swali kupata udadaduvi wa anachokiongela...ina maana wote walikua kama yeye!![emoji34][emoji34][emoji34]
Jaribu kufanya research physical mkuu usitegemee sana kusoma mawazo humu ukaingia field kwa hayo mawazo itaumia...tenga mda na pesa uingie kutazama mwenyewee biashara ilivyo maana itajifunza mengi kuliko kutegemea mawazo humu...
Kumbuka hivyo vyote ni vyakula kuoza unaweza kuambiwa labda Dar...
Ha ha haaa...
Umeonaa enhe mkuu...kama anauza kuku ataenda kuchinjwa aliwe...
Chanjo,Magonjwa nyemelezi yake umri wakena aina gani ni muhimi sana kwa mnunuzi kujua itamsaidia!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.