Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,721
- 6,592
- Thread starter
- #21
Hiyo inawezekana kabisa, nipigie tuyajengeNiko Iringa.. unaweza kumtuma kwenye basi?
Hiyo inawezekana kabisa, nipigie tuyajengeNiko Iringa.. unaweza kumtuma kwenye basi?
jina lake naniHiyo inawezekana kabisa, nipigie tuyajenge
Princejina lake nani
ahsante..jina zuriPrince
Nunua hata wa kufungia suruali, unaukata unafunga kwa size ya inayohitajikaUmeona mkuu...ila hata mimi wakwangu nimemfunga hivyo..huku mkoani niliko nimetafuta huo mkanda maalumu nimekosa.
Kuna chain maalumu za kufungia mbwa shingoni, ninaye mbwa hii mikanda ya ngozi hakainayo hata wiki.Nunua hata wa kufungia suruali, unaukata unafunga kwa size ya inayohitajika
Ha ha haaa...Umesahau kuweka vitu viwili muhimu sana katika tangazo lako, Je unavijua?
Karibuahsante..jina zuri
Kiongozi Huyu ni kwa ajili ya ulinzi sio wa kulaIringa unapata pesa chap