Recent content by Maty

  1. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo inaleta utulivu na amani kwa mwanaume

    🤣
  2. Maty

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Pole sana PJ Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
  3. Maty

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ananyonya sana!

    Jitahidi kula mara kwa mara usijibanebane. Kama wengine walivyoshauri supu ya pweza jitahidI uipate utaona matokeo haraka sana
  4. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    Mtoa mada kama kweli umejiridhisha mumeo anatoka nje ya ndoa jaribu kuchunguza anafuata nini huko nje, maana kama kukupenda anakupenda ndio maana we uko ndani jichunguze mapungufu yako.
  5. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    Teh teh teh teh
  6. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    Hehehehe bibie mswalie mtume na umuombe Mungu mumeo asijekamatika huko nje, kuna mapya binti watu wajuzi wa mambo yakhe tatizo sio kuwa na mchele changamoto ni jinsi gani utaupika huo wali uweze kulika
  7. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    Wewe kweli muuza ubuyu:smile-big::smile-big::smile-big:
  8. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa wadau?

    Abee babu umeniita, majukumu yamezidi babu yangu mpenzi ndio maana unaona kimya
  9. Maty

    JamiiForums Tanzania ....Hunenepa sana baada ya kujifungua!

    Kunenepa ni kujiendekeza wadada, niwape tu mfano hai Nilipojifungua nilikua na msichana wa kazi, wasichana wawili watoto wa dada zangu, mama yangu mzazi, (wasaidizi wangapi hao lol) basi nikajiachia mmama uvivu ukanijaa mtoto akilia najua kanyonya kashiba naita we mwafulani nachagua tu wako...
  10. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Kwa Hili Mnakera

    Pamadaku
  11. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujadiliane hili tafadhali

    "The only love that I really believe in is a mother's love for her children."
  12. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau hii imekaaje kwa mlio kwenye ndoa mmezaa na wanaume zaidi ya mmoja

    Inategemea na makubaliano ya mume na mke. Ila nafikiri haijakaa vizuri, hao watoto si ni wakubwa badala ya hao baba zao kuja kuwatembelea kwa mama yao watoto ndio wangekua wanaenda kutembea kwa baba zao wamalizane huko huko
  13. Maty

    JamiiForums Tanzania Kaugali na maziwa ya mgando kwa wanawake

    Mchafu huyo
  14. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ........nimekukumbuka sana :'(

    Usiwe na wasi babu DC anahakikisha hakiaharibiki kitu hapa. Si umeona mwenyewe wabishi wote kina sie Nyamayao, King'asti n.k wote wapooooole sasa ndio nimeamini utu uzima dawa asee
  15. Maty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ........nimekukumbuka sana :'(

    Hahahahaaha babu umeniweza kweli lol. Sina tena ujanja
Back
Top Bottom