Tujadiliane hili tafadhali

Tujadiliane hili tafadhali

yani kwa kweli kila mwanamke aliyezaa akiisoma hii lazima amesisimkwa mwili!
dada mkubwa nafikkir tukae kama kamati!
hiv kwani kwenye ukoo kuna mapacha?
kwani hatuwezi tukawatengeneza wa nje nje!lol!
mdogo wangu unataka tuwaunganishe akina nani kuwa mapacha?
 
Twaib! Kwangu ni kinyume chake kabisa.

Kwangu ni No Love is Greater than dad's Love.
umeona eeehhhh!
hayo matamshi ni sahihi kwa baadhi ya watu, siyo kila mtu.... kama alivyopambanua mtani wangu watu8
 
Last edited by a moderator:
Damu nzito kuliko maji...Siwezi kueleza jinsi ninavyompenda mwanangu...Nitasacrifice chochote kwaajili yake..My child is my first priority..and that will always be..hata mwanaume yoyote atakayekuwepo maishani mwangu lazima amkubali yeye kwanza ndio mengine yatafuata....Ikumbukwe mpenzi wako sio ndugu yako ni mtu mliyekutana nae ukubwani na meno 32...But my child is my blood and flesh....Mapenzi ya baba kwa mtoto naweza kusema ni tofauti kidogo labda kwasababu anayechukua majukumu yote haswa katika malezi ni mama...kwahio ule ukaribu unakuwa tofauti haupo tightly bounded...Lakini nadhani inategemea vilevile na baba mwenyewe....

Teh! Wengine hata hamkutani na meno 32.. washakuwa vibogoyo.. ::joke::

Ila naona kweli asilimia kubwa ya wamama wana endless love for their kids, yaani hata ukiwa mtu mzima mama anakuona bado mtoto!
 
Ila kweli nimetafakari meeng ambayo nilimkosea mama kwenye teenage na akaweza kunisamehe..hii yote ni kwa sababu ya upendo alionao kwangu lakini sio rahis kwa mtu mwingine kurudisha moyo na kuendelea kupenda...kwa mfano mwanaume/mume akishajua kuhusu rough past anakimbia yaani upendo unaisha na kupotea kabisa
 
mapendo yako kotekote ila yamebase sana kwa mama
Mama amekuwa mfano wa kuigwa kwa kila mtu kwani
yeye anaonesha mapenzi yakweli kwa mtoto wake hata
kama mtoto atamletea majanga kiasi gani lakini upendo
wa mama kwa mtoto haukomi ingawaje wako wamama
wengine ambao hawana moyo huo wa upendo hao ni
wachache kwa wingi wa wamama wanavyopenda watoto
wao, kwani hakuna kama jamani bandugu nenda ulaya
kaskazi, mashariki, magharibi hata kusini mama ni mama
 
"The only love that I really believe in is a mother's love for her children."
 
1391758_556275424451820_177935180_n.jpg
I don't agree
sina wasiwasi kabisa kuwa mama yangu ananipenda sana tena sana kabisa.......
Hongera
Dedicationa A Song For Mama by Boyz 2 Men - YouTube
Najiuliza ni fair kutoa statement kama hii?
Kwanini una mashaka?
Ni kweli kabisa kuwa mama zetu wanatupenda sana kuliko mtu yeyote anavyotupenda?
Sio kweli kabisa
Nasema haya kwa uzoefu
Nina uhakika naweza kupima mapenzi yangu kwenda kwa mwingine, nina uhakika kabisa nani nampenda zaidi
Mama unachanganya mambo
Mapenzi sio upendo
lakini unaweza kujua kwa uhakika kabisa kuwa nani anakupenda sana kuliko mwingine?
Huwezi
Lakini ni kwanini unataka kujua?
Ni kweli wababa hawapendi watoto wao zaidi ya vile ambavyo mama zao wanawapenda?
Baba yangu alinipenda sana[R.I.P]
Kama ulikuwa unataka jibu kutoka kwa mtu mmoja hilo linakutosha
Kama ulikuwa unazungumzia wengi huwezi kujua hadi ufanye utafiti
Tuachane na story za kusema "mama alimbeba mtoto tumboni miezi 9" ndo sababu anampenda sana. kuna wamama ambao wanabeba mimba na wanatupa watoto au kuwatelekeza.
Safi sana nimeipenda hii
Haya mapenzi ya kutota upande mwingine tunayapimaje?
Kwanza hutakiwi kujua kwasababu haikuhusu
Kama unadhani inakuhusu jaribu kujipa hiyo kazi uone kama unaweza kujua
Utaishia kujilaumu tu na kulaumu wengine
Naomba tujadiliane hili tafadhali
Haya!
 
mapendo yako kotekote ila yamebase sana kwa mama
Mama amekuwa mfano wa kuigwa kwa kila mtu kwani
yeye anaonesha mapenzi yakweli kwa mtoto wake hata
kama mtoto atamletea majanga kiasi gani lakini upendo
wa mama kwa mtoto haukomi ingawaje wako wamama
wengine ambao hawana moyo huo wa upendo hao ni
wachache kwa wingi wa wamama wanavyopenda watoto
wao, kwani hakuna kama jamani bandugu nenda ulaya
kaskazi, mashariki, magharibi hata kusini mama ni mama

I doubt it

Ili unielewe unatakiwa uishi zaidi ya hapo,inawezekana kuna ukweli mkubwa hujauona!
 
Ila kweli nimetafakari meeng ambayo nilimkosea mama kwenye teenage na akaweza kunisamehe..hii yote ni kwa sababu ya upendo alionao kwangu lakini sio rahis kwa mtu mwingine kurudisha moyo na kuendelea kupenda...kwa mfano mwanaume/mume akishajua kuhusu rough past anakimbia yaani upendo unaisha na kupotea kabisa

Unajuaje kuwa aliamua tu kukuacha kwakuwa hakuwa na pa kukupeleka?

Usilinganishe mapenzi na upendo
Past inamahusiano sana na mapenzi au hujui hilo?
Kama hujui bado wewe ni teen kiakili au kimwili!
 
Kongosho umenifurahisha jinsi ulivyoeleza.......mama hafananishwi na kitu kingine upendo anaokuwa nao kwa mwanawe hata wakati mwingine naangalia mafanikio/maisha niliyonayo nikimwondoa Mwenyezi Mungu muweza wa yote ni mama kwa sala na upendo dhati.

You need to live longer than that ili uujue ukeli mkubwa sana

Roho inaniuma sana kwa watu kutokuuthamini upendo wa baba
Sijui hata niseme nini!
 
Unajuaje kuwa aliamua tu kukuacha kwakuwa hakuwa na pa kukupeleka?

Usilinganishe mapenzi na upendo
Past inamahusiano sana na mapenzi au hujui hilo?
Kama hujui bado wewe ni teen kiakili au kimwili!

asante kwa kujua mimi ni teen kwa sababu ya kutoa kile nnachokielewa...no love is great than my mom's love..and you cant change it!@Eiyer
 
You need to live longer than that ili uujue ukeli mkubwa sana

Roho inaniuma sana kwa watu kutokuuthamini upendo wa baba
Sijui hata niseme nini!

wewe si uuthamini tu kwani umekatazwa?kwa nini ulazimishe na wengine?
 
asante kwa kujua mimi ni teen kwa sababu ya kutoa kile nnachokielewa...
Na ndivyo unavyoweza kujua
Ni kupitia kile mtu anachoandika au kuzungumza
no love is great than my mom's love..and you cant change it!@Eiyer
Wrong assumption
I'm not here to change anything

And yet,you can say or believe anything but problem come when you trying to prove them!
 
Back
Top Bottom