Nyumba ndogo inaleta utulivu na amani kwa mwanaume

wakikosi

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,354
1,483
Wakuu habari, bila kupoteza muda kwa miezi kadhaa sasa nimefanikiwa kuwa na mwanamke wa nje, na kwa sasa nimepata uzoefu ufuatao:

1. Sigombani gombani tena na mke wangu, hata kama akisema leo sikupatii papuch nimechoka basi siku hizi namchukulia poa tu namwacha na siku inapita kwa amani. Hali ilikuwa tofauti na zamani ambapo nikinyimwa papuchi na mke wangu nilikuwa mkali sana.

2. Nimekuwa nina amani sana na furaha kama mwanaume siku hizi, kumiliki wanawake wawili raha nyie, yaani unajiona kama mfalme vile.

3. Siku hizi sina uchu wa kuwatongoza wafanyakazi wangu wa ndani, siku hizi house girls nawachukulia poa tu, mambo ya kuwavamia bafuni au chumbani kwao au kuwatongoza nilishaacha kwa sababu kuna mtu mwingine anamsaidia mke wangu kingono hivyo natosheka kabisa.

4. Makasiliko kasiliko na mke wangu hakuna tena siku hizi, mwanaume nimetulia kimyaa.

Wito wangu, kama mke wako yuko bize sana na maisha au hana uwezo wa kukuridhisha kitandani au kama wewe unapenda sana kutongoza wafanyakazi wako wa ndani na ni jambo la aibu hili nikushauri tafuta mwanamke wa nje.

Mpange vizuri na tena umwambie kuwa wewe una mke wako lakini unataka kwake huduma tu basi utapata mpango wa kando na utatulia kabisa,muhimu usimpande mpango wa kando kausha damu wa kuomba hela kila saa, tafuta mwanamke mtulivu tulia nae huku unakula kimyakimya na kuhakikishia ndoa yako nyumbani itakuwa tulivu sana kama yangu siku hizi.
 
 
Kiukweli kuwa na mwanamke mmoja ni kujitaftia kifo cha mapema Kwa mwanaume ... Sisi tamaa zipo nje nje sasa kama mke wako anakupangia ratiba mwisho wa sku utatia aibu tuu alaf utakuwa unagombana naye kila mda , ukiwa na mwanamke nje familia lazima itulie aisee.

Na mama mwenye nyumba atajitawala Kwa amani ndani mana utakuwa hata humfatilii just kumshauri tuu hiki halipo Sawa fanya hv baas
 
Wanasemaga mke mmoja hudumaza akili😂😂😂
IMG-20190415-WA0001.jpeg.jpg
 
Hata mume mmoja anadumaza akili, ushaona chungu kinainjikwa kwenye figa moja🤣🤣 Basi tu wanawake tunavifua, tunakufa na Siri zetu.

NB; Aliyegundua kipimo cha DNA ny.ok.o zake🤣
Hii inaitwa moto juu ya moto nimecheka kwa sauti aiseee.
 
Kiukweli kuwa na mwanamke mmoja ni kujitaftia kifo cha mapema Kwa mwanaume ... Sisi tamaa zipo nje nje sasa kama mke wako anakupangia ratiba mwisho wa sku utatia aibu tuu alaf utakuwa unagombana naye kila mda , ukiwa na mwanamke nje familia lazima itulie aisee ... Na mama mwenye nyumba atajitawala Kwa amani ndani mana utakuwa hata humfatilii just kumshauri tuu hiki halipo Sawa fanya hv baas
Mkuu hii siri tumegundua wanaume wachache sana,sasa na mimi nimeona nisiendelee kula raha peke yangu inabidi niwashirikishe kamati ya wanaume wenzangu ili nao wasijekufa na stress kwa kukomaa na mke wa mmoja
 
🤣🤣 akigundua tu ana msaidizi umekwishaaa,Ila inafikirisha sana,kama wajua hutaweza timiza majukumu ya ndoa,ambayo ni ngono kwa sehemu kubwa,kwanini kukimbilia ndoa?ili uringishie mtaani kuwa kuna mtu anakufuga sasa?🤣 Ndoa is overrated 🙏
 
Hata mume mmoja anadumaza akili, ushaona chungu kinainjikwa kwenye figa moja🤣🤣 Basi tu wanawake tunavifua, tunakufa na Siri zetu.

NB; Aliyegundua kipimo cha DNA ny.ok.o zake🤣
🤣
 
Back
Top Bottom