Tunaomba mamlaka husika na JamiiForums kutusaidia kufuatilia suala hili. Kwa takribani miaka mitatu sasa, Mwenyekiti na Mtendaji wa Mwime, Manispaa ya Kahama, hawajawahi kuwasilisha taarifa za mapato yanayotokana na mgodi uliopo katika eneo letu.
Wananchi tunaeleza kuwa kila duara linalofika...
Kuna mwalimu mkuu wa shule x ya secondary kahama amekua na tabia za kuwatoza fedha ya dawati tsh themanini elfu 80000, kila mwanafunzi anayejiunga kidato Cha kwanza, mwalimu huyu hutumia vitisho sana, akidai hamna dawati za kukalia, hata hivyo ukilipia tu mwanafunzi anapewa sehemu ya kukaa...
Vifo vingi vimekuwa vikitokea hapa. Juzi tu, kuna vijana watatu wamefariki maeneo ya uchimbaji maarufu kama Zanzibar. Hali hii ya kusikitisha imesababishwa na baadhi ya wasimamizi wa migodi ambao hudanganya idadi ili mgodi usifungwe.
Wakaguzi almaarufu kama MAINSPEKTA hawakagui badala yake...
Muda mwingine mashekhe huwa wendawazimu,wakatili,wasiojua huruma na misingi ya haki za binadamu kwa kigezo cha dini yao eti SHARIA, kumbe ukosefu wa elimu hakuna shekh mwenye PHD kama yupo mtaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.